Hata Kama Simba SC Wakimlipa CLOUTUS C. CHAMA Pesa Zake, Bado Hatokuwa Mchezaji Bora Uwanjani tena

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Upo mkakati wa kuhakikisha Cloutus Chota Chama anapewa kiasi chake cha pesa anachoidai Simba kutokana na Kuvunja mkataba wake na Berkane.

Ikumbukwe kuwa Simba SC walimpanga Chama kutumia pesa zake binafsi kuhakikisha anavunja mkataba wake na Berkane ili baadae aje kupewa pesa hizo katika installments tofauti tofauti.

Mapenzi ya dhati ya Chama akakubali na akaamua kutimiza dhamira ya Viongozi wake akijua kuwa hakuna jambo litakalo haribika na ukizingatia hakuwa akifurahishwa na Mazingira yake ya kazi huko Kaskazini mwa Afrika.

Viongozi wa Simba walidhani kuwa wangetumia pesa zao kuvunja mkataba wa Chama na Berkane basi wangeingiliwa keani walijua dhahiri kuwa Eng Hersi na timu yake walikiwa wamejiandaa kumkwapua kijana mara mkataba unapovunjwa.

Ahadi ya kulipwa pesa zake lilikuwa ni mpaka pale atakapo saini na Simba na kuanza kuitumikia klabu.

Miezi kadhaa baadae Klabu ikashindwa kutimiza ahadi yake ndipo Chama akaanza ku-skip session za mazoezi na kushinda kwenye ofisi za Mo Dewji akidai chake.

Pasi na Pablo kuwa na taarifa rasmi za kutokuwapo kwa Chama mazoezini, akaandika barua rasmi kuwa hatotaka kumuona mchezaji huyo mpaka atakapo andika barua ya kujieleza kwa utovu huo wa nidhamu.

Mpaka wakati huu Chama hajakamilishiwa malipo yake na wala hakuona sababu ya kuandika barua kwa Pablo kama alivyohitajika.

Chama amefungua mashtaka ya madai na sasa yuko Kwao.

Kwa haya yote yaliyotokea ndani ya klabu sioni jamaa akirudi kwenye ubora wake ukizingatia sio tu umri bali pia Pablo amekwisha pendekeza usajili wa mbadala wake.
 
Mbadala wake ni enonga na anacheza vizuri tu ana kasi kuliko yeye.
 
Hivi kuchanganyikiwa ama nini?
Chama mbadala wake inonga kweli?

Kalale mzee lambalamba wamekuchanganya
We sijui hata kama unafuatilia mpira inonga mechi iliyopita alicheza kiungo na alicheza vizuri tu au ww unaangalia mechi za yanga tu.
 
Bei ya Chama ilikuwa milion 800 berkane walitoa milion 300 ikabaki milion 500 wakisema wanamuangalia mchezaji kwanza.

Ghafla chama akaamua kurudi Simba na berkane wanataka warudishiwe milion 300 zao.

Sasa sijui Nani kalipa Kati ya Simba au chama mwenyewe
 
We sijui hata kama unafuatilia mpira inonga mechi iliyopita alicheza kiungo na alicheza vizuri tu au ww unaangalia mechi za yanga tu.
Tofautisha kucheza na kucheza kwa ufanisi..hujui hata hilo.
Inonga alisajiriwa kama kiungo au beki?

Haya huyu ndio aje akutane na kina Feisal kweli si itaandika record?🤣🤣
Hata Pablo mwenyewe hawezi kujitoa kafara kama hivi unavyotaka.

Acha ukolo bwana utachekwa bure.
 
Sisi Simba hatuwezi kukosa pesa ya kumlipa Chama kama kweli anatudahi.

Chama anayo majeraha ndio maana haonekani mazoezini na pia umri umemtupa mkono. Akipona ararudi uwanjani kusukuma gozi la ng'ombe
 
Tofautisha kucheza na kucheza kwa ufanisi..hujui hata hilo.
Inonga alisajiriwa kama kiungo au beki?

Haya huyu ndio aje akutane na kina Feisal kweli si itaandika record?[emoji1787][emoji1787]
Hata Pablo mwenyewe hawezi kujitoa kafara kama hivi unavyotaka.

Acha ukolo bwana utachekwa bure.
Kwani faridi musa ni beki kule yanga mchezaji anacheza kutokana na mahitaji simba ni kubwa kuliko chama aende uone kama simba itashuka daraja wameondoka watu simba chama nani aende kwao lusaka akalewe vizuri tutamrudisha Duncan nyoni.
 
We sijui hata kama unafuatilia mpira inonga mechi iliyopita alicheza kiungo na alicheza vizuri tu au ww unaangalia mechi za yanga tu.

Inonga alicheza katika Nafasi ya “Kiungo Mchezeshaji”.

Oneni huyu [emoji23][emoji23]
 
Bei ya Chama ilikuwa milion 800 berkane walitoa milion 300 ikabaki milion 500 wakisema wanamuangalia mchezaji kwanza.ghafla chama akaamua kurudi Simba na berkane wanataka warudishiwe milion 300 zao.
Sasa sijui Nani kalipa Kati ya Simba au chama mwenyewe

Huoni hata aibu masikini ya Mungu.

Usikute una familia na watoto hapo ulipo .[emoji23][emoji23]
 
Sisi Simba hatuwezi kukosa pesa ya kumlipa Chama kama kweli anatudahi.

Chama anayo majeraha ndio maana haonekani mazoezini na pia umri umemtupa mkono. Akipona ararudi uwanjani kusukuma gozi la ng'ombe

Majeraha gani hebu yaweke wazi.

Kuna mwenzako
Kasema ana Ligament fracture. [emoji23][emoji23]
 
Mmmmmh siamini kama Simba walifanya hayo.

Ila kama ni kweli, basi wamalize kasoro hiyo kwani itakuwa dhambi kubwa sana.
 
Kwani faridi musa ni beki kule yanga mchezaji anacheza kutokana na mahitaji simba ni kubwa kuliko chama aende uone kama simba itashuka daraja wameondoka watu simba chama nani aende kwao lusaka akalewe vizuri tutamrudisha Duncan nyoni.
Faridi ni gifted talent halafu ni kiungo mnyumbulikaji hata mwili wake unaonesha.
Sasa huyo inonga kwanza kakomaa kama fito mwili analazimisha, hana ufundi na akili anacheza hovyo kazi kupiga ma tackling hovyo akacheze kiungo kweli tena namba kumi? 🤣

Kuwa serious basi mzee.
 
Faridi ni gifted talent halafu ni kiungo mnyumbulikaji hata mwili wake unaonesha.
Sasa huyo inonga kwanza kakomaa kama fito mwili analazimisha, hana ufundi na akili anacheza hovyo kazi kupiga ma tackling hovyo akacheze kiungo kweli tena namba kumi? [emoji1787]

Kuwa serious basi mzee.
Hii comment imeonyesha ww ni kilaza nimepoteza mda wangu bure kukujibu ndegelesi umeshinda basi tufanye maana unatoka kwenye point unakuja kwenye personality ya mtu
 
Bei ya Chama ilikuwa milion 800 berkane walitoa milion 300 ikabaki milion 500 wakisema wanamuangalia mchezaji kwanza.ghafla chama akaamua kurudi Simba na berkane wanataka warudishiwe milion 300 zao.
Sasa sijui Nani kalipa Kati ya Simba au chama mwenyewe
Hio Biashara kichaa walifanya, lkn vipengele si vipo alie vunja mkataba ndio atalipa
 
Back
Top Bottom