No, ile ya mpayukaji ni Ruvu Shooting, inacheza kesho na simba na tayari kama kawaida yake ameshatoa tambo za kutosha, kasema msimu huu ameshamkalisha Yanga, amemkalisha azam na kmc hivyo katika big four za msimu uliopita imebaki simba pekee na kaahidi kumpapasa mnyama kesho.