GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024.
Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo kwa hatua zingine kuendelea.
Chanzo: mwananchi_official
Kifo hiki kimenikumbusha cha Yule Mtoto wa Marehemu Tajiri aliyekuwa anakunywa dawa zake za Matumaini Disease.