Hata kama tuna hela na utajiri ila tuzingatie sana Afya zetu na tuwe na nidhamu nzuri ya kunywa dawa zetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024.

Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo kwa hatua zingine kuendelea.

Chanzo: mwananchi_official

Kifo hiki kimenikumbusha cha Yule Mtoto wa Marehemu Tajiri aliyekuwa anakunywa dawa zake za Matumaini Disease.
 
Wanatakiwa kutafutiwa MJI wakwao pekeako

Nashangaa wanahangaika na Masai wenye afya njema kwa mpigo

Wakati hawa wanaiangamiza jamii yetu zuri yakitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…