bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mpumbavuHuyo dogo ni mjinga
Sijui wenzetu wengine kwao wazazi waliwalea vipiKWELI
mshambampuuuzi
Fresh ya vipi mkuuFresh tu
Mijitu mingine hata adabu haina mkuuMshenz wa hela yote
Sorry mkuuMuwe mnatoa tahadhari ya video inahusu nini, nimeifungua karibu na watoto na kupata aibu ya mwaka.
Kwani ihusu nini maana mie ndio nataka kwenda kwa Mangi nikanunue vocha niunge bando!!!Muwe mnatoa tahadhari ya video inahusu nini, nimeifungua karibu na watoto na kupata aibu ya mwaka.
Jamaa anawafundisha Wachina kiswahili, ila kama ujuavyo maneno ambayo huwatoka waswahili.Kwani ihusu nini maana mie ndio nataka kwenda kwa Mangi nikanunue vocha niunge bando!!!