THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Sawa sitaki kuwa mtumwa....Nini maana ya jina MAKABURI kwa binadmu? Mtoto unamuita Nguruwe..... kweli? Hata kama bwana .....Mara nyingi majina hu-reflect future ya mtoto. Tusitoe toe tu majina hovyo.utata upo wapi hapo bana? penda asili yako uepuke utumwa.
Nimekuwa nikitafakari dhana ya wazazi wetu waliyotumia kutoa majina yafuatayo kwa watoto wao nimekosa majibu. Mwana JF ambaye una weza kuwa na Ufahamu huo , naomba msaada. Majina hayo waliyo pewa watoto ni kama yafuatavyo.
1. Makaburi
2. Matatizo
3. Chausiku
4. Shida
5. Mapunda
6. Nguruwe
7. Kunguru
8. Sijali
9. Siwema
10. Sikitu
11. Sikuzani
12. Sikujua
13. Siyawezi
you are extremly geniuswazazi wa zamani walipenda sana kuweka kumbukumbu ya matukia kwenye majina ya watoto wao, hivyo basi
1. Makaburi...... Inawezekana on the kwenda hospitari akazaliwa karibu na makaburi
2. Matatizo .......... Kulikuwa na ishu inawasumbua wazazi
3. Chausiku ..... Inawezekana usiku tu mama alikuwa anasumbuliwa na mimba ya huyu mtoto/ majina nya kizaramo
4. Shida ........... Alizaliwa kwa shida au kulikuwa na shida kali wakati anazaliwa
5. Mapunda ....... Kuendeleza ungoni
6. Nguruwe kuendeleza ungoni
7. Kunguru ...... Inawezekana wakati anazaliwa kulikuwa na kunguru wengi sana
8. Sijali kizaramo zaidi aua wakati anazaliwa kulikuwa na tukio kwa wazazi hivyo hawakuwa wanalijali.
9. Siwema ... Pengine kuna watu wabaya waliwazunguka wakati wa ujauzito
10. Sikitu .... Tukio limetokea wao hawakuona kama ni issue ya kujali
11. Sikuzani ... Haikutegemewa either kuzaliwa salama au kutokea tukio fulani
12. Sikujua ... Pengine ndo siku mzazi aliyopata kujuwa taarifa au jambo fulani
13. Siyawezi ... Yaliyotokea hana nuwezo nayo
Cookie absolutely yes... tena big yes. Nenda Songea hayo majina ya Nguruwe, Kunguru ...n.k yapo kibao tena mimi nimesoma nao hao watu A-level. Makaburi nimesoma naye Shule ya Msingi tena darasa moja.THE GREAT CAMP ..... kuna watoto/watu wanaitwa Nguruwe, Makaburi, Kunguru?
Cookie absolutely yes... tena big yes. Nenda Songea hayo majina ya Nguruwe, Kunguru ...n.k yapo kibao tena mimi nimesoma nao hao watu A-level. Makaburi nimesoma naye Shule ya Msingi tena darasa moja.
Nitawakaribisha.Basi wewe una bahati kukutana na watu wenye majina hayo.....
Tena umesoma nao kabisa.....
Kama bado unawasiliana nao wakaribishe Jamiiforums
Nikweli kabisa mkuu, mfano wa kina Makaburi waliowengi wanakufa wakiwa wadogo, wa kina Matatizo always huwa na matatizo kwelikweli kwenye kia jamabo wanalofanya. Majina yana beba muelekeo fulani wa maisha ya huyo mtu/mtoto.Hayo majina mwisho wake huwa wahusika huendana na majina yao kwa matendo
Ya kidhungu huwa hayaonekani kama ni ya ajabu sanaa... unajuwa hata matusi ukitukana kwa kidhungu unaweza ukaoneka hutukani... Hebu cheki hayo majina na hili hapa ... SMITH ... Huyu si muhunzi huyu..?Mr C Carpenter
Mrs Redgrave
Ms Crabtree
Mr Fish
Ms Green
Mr Shoemaker
Mr Cook
Mr Woods
Mr C Carpenter
Mrs Redgrave
Ms Crabtree
Mr Fish
Ms Green
Mr Shoemaker
Mr Cook
Mr Woods
Mr C Carpenter
Mrs Redgrave
Ms Crabtree
Mr Fish
Ms Green
Mr Shoemaker
Mr Cook
Mr Woods
Na majina ya ukoo ya wazungu wabongo tunapoafanya 1st names zetu?????
Collins
Clinton
Mr C Carpenter
Mrs Redgrave
Ms Crabtree
Mr Fish
Ms Green
Mr Shoemaker
Mr Cook
Mr Woods