Hata kama tunatakiwa kutoiga majina ya “”kidhungu”” lakini haya majina ya kwetu mengine utata mtupu

Hata kama tunatakiwa kutoiga majina ya “”kidhungu”” lakini haya majina ya kwetu mengine utata mtupu

Kuna mmoja nilisoma nae O'level alikuwa anaitwa Pumb* Luhende. Na kwa Kihaya hilo jina Luhende nasikia halina maana nzuri.
 
Nimekuwa nikitafakari dhana ya wazazi wetu waliyotumia kutoa majina yafuatayo kwa watoto wao nimekosa majibu. Mwana JF ambaye una weza kuwa na Ufahamu huo , naomba msaada. Majina hayo waliyo pewa watoto ni kama yafuatavyo.

1.
Makaburi

2. Matatizo

3. Chausiku

4. Shida
5. Mapunda

6. Nguruwe
7. Kunguru
8. Sijali
9. Siwema
10. Sikitu
11. Sikuzani
12. Sikujua
13. Siyawezi
  1. Komba
  2. Pombe
  3. Magufuli
  4. Nyaronyo Kicheere
  5. Ukiwaona Mzuzuri
 
Yafuatayo yapo kiac kenya
simba
mbogo
nyoka
kahindi
mboro

haraf kuna sehem north kenya inaitwa Kakuma na central kenya sehem inaitwa mbooni maeneo ya machakos,Dunga unuse ni eneo la Bombolulu Mombasa Kenya.usishangae.
 
ukisema jina lina aksi maisha ya mjina siku za usoni hilo siyo sahihi sana maana maisha ya mtu au jamii huendana na msingi na mfumo wa maisha wanayoishi, rakini cha msingi zaidi mwenye kuamua maisha yawe namna gani ni mtu mwenyewe mhusika wa hayo maisha, wengi wamepatwa na misukosuko na matatizo katika maisha japo majina yao si akina shida, makoye, mawazo, sijari na kadhalika, kama jina linamchango katika mafanikio ya mtu kwanini akina Neema wote wasiwe na mafanikio tena yasiyo na mashiko? au akina Happy wasiwe na furaha milele?majina hasa ya kiafrika (nayaelewa) mara nyingi ni kumbukumbu ya tukio lililotokea kipindi ama ujauzito ulitungwa au kipindi mtoto anazaliwa kama ilivyo kwa akina Uhuru( kipindi nchi inapata uhuru) Nyerere( muda Nyerere anakuwa Rais Tanganyika) Kesi ( kuna kesi ilikuwa ikiendeshwa) nakaadhalika. upo hapo?
 
Maranyingi wazazi wamekuwa wakiwapa watotowao majina kutokana na matukio au mazingira yaliyokuwa yakiwazunguka wakati wanajifungua,inaweza kuwa ina maana lakini nikweli kwamba majina yanaathari katika maisha ya muhusika. hivyo ni muhimu kuwa makini najinaunalotaka kumpamtoto hatakamaunataka kuweka kumbukumbu ya tukio au mazingira.
 
Back
Top Bottom