Hata kama ungekuwa ni wewe lazima tu, ungeachana naye!

Hata kama ungekuwa ni wewe lazima tu, ungeachana naye!

Hata katika mahusiano hayo (kama siyo Mme na Mke mliofunga ndoa) unafanya bado dhambi ya Uasherati! Kwa hiyo hapo unachokataa ni kukanyaga mavi wakati hujaruka mkojo.
Uzinzi na Ulawiti havitofautiani mbele za Mungu.
 
Shalom wana jf

Iko hivi, kuna huyu dada ni mzuri sana, nko naye kwenye mahusiano
Kwa muda sasa!!!

Ni boss flani hivi ana kampuni zake kama mbili kubwa
In short ana mawe!!!

Tatizo n kwamba...imekuwa kila nikiwa nafanya naye sex
Akikolea
Anataka nimnanii kinyume na kawaida
Mm nakataa....namwambia siko tayar...labda anipe muda

Hali imekuwa hivyohivyo kila tunaposhiriki
Anadai ..hajawai fanywa hivyo and anataman saaana sana sana kujua
Utamu wake!! Na sio na mwanaune yeyote yule..bali mimi tu!!!

Kuna wakat tukiwa kwenye mechi ..utamuon anaishk anakuw kama anachezesh hapo afu...kama anajarb kuisukumia..mm nakuwa mkali

Binafsi bora nife kuliko kufanya hilo zoezi!!

Nimefikiria kuachana naye KABISA
Pamoja na kwamba ..amekuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu!!

Ameninunulia nyumba....kanifungulia na ofisi kubwa
Na hapa alipo tayari ana ujauzito wangu!!

Sitak zambi za kujitakia mm!!

nahtaj kujua kama uamuz niliouchukua....unamanufaa mkabuwa kuliko madhara...!!!
Ni uamuzi wa busara usije fanya huo ujinga, mi mwenyewe kuna mademu jumla wawili walitaka niwafanyie hivyo nikakataa, lakini kumla K bila kumuoa ni dhambi vile vile, so hakuna dhambi uliyoikimbia.
 
Back
Top Bottom