Hata kama ungekuwa ni wewe lazima tu, ungeachana naye!

Hata katika mahusiano hayo (kama siyo Mme na Mke mliofunga ndoa) unafanya bado dhambi ya Uasherati! Kwa hiyo hapo unachokataa ni kukanyaga mavi wakati hujaruka mkojo.
Uzinzi na Ulawiti havitofautiani mbele za Mungu.
 
Ni uamuzi wa busara usije fanya huo ujinga, mi mwenyewe kuna mademu jumla wawili walitaka niwafanyie hivyo nikakataa, lakini kumla K bila kumuoa ni dhambi vile vile, so hakuna dhambi uliyoikimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…