OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
Sasa hapo kuna shida ganiSubirini kudesa tu kama hivi.
Mpaka mseme, hamjasema bado.
Mkuu umekasirika ilihali wewe mwenyewe ni sababu ya mpira tu umewatukana hadi ndugu zako wanaoshangilia Yanga kuwa hawana akiliKWASABABU ya mpira uniambie Mimi MPUMBAVU??????????
UNAAKILI TIMAMU KWELI wewe!!!!!
Nyie kuingia na jeneza, ni nini.W E N Y E A K I L I N I W A W I L I TU
Kwani unamaana ndio mleta uzi auπ
Hayo ni maneno ya mzee kolo kwa MakoloππW E N Y E A K I L I N I W A W I L I TU
Mwanaume unajivunia paja zuri na kujiita mtoto mzuri!We sema unaonea wivu mipaja ya watoto Wazuri wa mwananchi, ahaaaa
Zaidi ya mpumbavu unapo sema wengine hawana akili hua una zungumzia draft au karate?KWASABABU ya mpira uniambie Mimi MPUMBAVU??????????
UNAAKILI TIMAMU KWELI wewe!!!!!
Ulipoteza mda wako kuliheshimu hilo jingaNyie kuingia na jeneza, ni nini.
Sema wew jamaa nimekushusha thamani gafla.
Kama ni keeling basi ni ujinga mkubwa sana kuzidi ujinga wenyewe.Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.
Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.
Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Ally Kamwe no sehemu ya viongozi, Tena ni msemaji rasmi wa yanga. Kama kauli ingetolewa na shabiki wa yanga au mtu yoyote asiyekuwepo kwenye uongozi tusingewalaumu.Mkuu kwanini lawama unawatupia viongozi ilihali hakuna sehemu yeyote ambapo kiongozi wa Yanga akitoa kauli watu wakunje nguo au wavae nusu uchi. Bali nilichokisikia kauli iliyotolewa na msemaji wa Yanga ni kuwa siku ya Aziz Ki hivyo mashabiki waje na ufunguo. Haya mengine yanayofanyika ni kwa utashi wa mashabiki wenyewe. Laiti kama kuna kauli ilitolewa watu wakunje nguo au wavae nguo fupi basi hilo lingekuwa ni sahihi kupeleka lawama kwa viongozi.
Mapungufu ya mashabiki usiyapeleke kwa viongozi, na mchezo wa mpira wa miguu ni moja ya ulevi kwa baadhi ya watu
Hahahahahahahahahahahahahaha......KWASABABU ya mpira uniambie Mimi MPUMBAVU??????????
UNAAKILI TIMAMU KWELI wewe!!!!!
Unachofanya tunaita spinning. Kwa hiyo mimi ndio nitakuwa tamplate ya ujinga wa wana Uto?Mleta mada unajifanya kuongea tu humu. usikute nyie ndio wale huko mtaani/uswazi kwenu asubuhi mnaenda kununua kipande cha sabuni huku umevaa kanga ya mkewako na mswaki mdomoni ukiwa tumbo wazi.
Umeelewa nilichokisema? Kuna sehemu nimekataa kuwa Ali Kamwe sio msemaji wa Yanga?Ally Kamwe no sehemu ya viongozi, Tena ni msemaji rasmi wa yanga. Kama kauli ingetolewa na shabiki wa yanga au mtu yoyote asiyekuwepo kwenye uongozi tusingewalaumu.
Hana haja ya kueleza hilo kwa sababu mara zote Uto wanapokuja na Siku ya Mchezaji wana maanisha wavae kama huyo mchezaji. Ndio maana siku ya Max walichomekea. Usijifanye kichwa nguvuUmeelewa nilichokisema? Kuna sehemu nimekataa kuwa Ali Kamwe sio msemaji wa Yanga?
Nilichokisema ni kwamba Ali Kamwe hakuna mahali katamka watu wakunje nguo au watu wavae nguo fupi bali alichokisema Ali Kamwe kuwa watu wabebe funguo. Hayo ya kukunja nguo na kuvaa nusu uchi ni utashi wa mashabiki wenyewe. Au kama una clip yeyote ile Ali Kamwe katamka kuwa watu wavae kama Aziz Ki basi ni ruksa kunikosoa kwa kuileta hapa hiyo clip.
Siku ya Max si ilitangazwa na msemaji nini washabiki wanatakiwa kufanya? Au iliandikwa tu siku ya Max pasipo kutolewa muongozo wa nini kifanyike kwenye siku husika? Na hii siku ya Aziz Ki si imetolewa mungozo kuwa watu wabebe funguo? Embu wakati mwingine mjifunze matumizi ya akili katika kuchambua, kufikiria na kutafakari mambo. Wewe hauna tofauti na hao unaosema wanakaa uchi, kwasababu wote mnaakili za sawasawa.Hana haja ya kueleza hilo kwa sababu mara zote Uto wanapokuja na Siku ya Mchezaji wana maanisha wavae kama huyo mchezaji. Ndio maana siku ya Max walichomekea. Usijifanye kichwa nguvu
Ahaaaa!We sema unaonea wivu mipaja ya watoto Wazuri wa mwananchi, ahaaaa