GE2025 Hata kama walikiuka kanuni Januari 19, 2025 bado Rais Samia ndiye bora kuliko wote wanaotamani kuwa wagombea wa CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye familia yangu tu ninayehangaika mtaani naweza kuwalisha, sembuse rais mwenye kuletewa kila kitu kwa kodi za wananchi na rasilimali za nchi.
 
Na mradi mwingine kausahau wa kuuza bandari za bara ambao Magu alikataa mpango huo
 
Mifumo ipo vizuri hata Rais angekuwa Kingwendu Ngwendulile bado madaraja yangejengwa
 
Nenda kanywe nae chai.

Nyumba haikuwa na mwenyewe, ni kurukaruka tu kama maharagwe ya ukweni.
 
Ndg tuliza akili yako CCM haimjadili Samia, mkutano mkuu umeshamaliza kazi ya kumpata mgombea yanajadiliwa mambo mengine we sema sukuma gang ni km fisi wanaosubiri mkono wa binadamu udondoke. Wengi wao watakufa kabla ya 2030. Vifungu vya katiba ya CCM vinaenda kuwekwa sawa si kwa ajili ya Samia, Samia ndiyo kaitisha hicho kikao, sasa kwa mwenye akili anaenda kujinyonga mwenyewe? Mtu ameshapitishwa na chombo chenye maamuzi ya mwisho na kupongezwa na bunge anawaza tena mambo ya uteuzi? Subiri bdae kdg tutaelezwa yaliyofanyiwa marekebisho. Kufanywa kwa njia ya mtandao ni suala la muda, kumbuka wengi wa wajumbe ni watia nia wako busy majimboni.
 
Umesahau utekaji na mauaji, maana hatujawahi kumsikia akikemea. Ongezea hapo liwe namba 9
Haya yote unayoyalalamikia humu kuhusu ubabe wa CCM, kuinyima CDM political space, kuteka watu, kuua and all the filthy, yameasisiwa na Awamu ya 5 ambayo Polepole was among 5 top insiders.

Rais SSH amejitahidi sana kuleta demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa maoni lakini hajamaliza kwa vile damage waliyofanya akina Polepole ilikuwa ni kubwa mno.
 
Vilist tu mkuu hukatazwi. Ila mimi nimeangalia agenda tuliyonayo mbele yetu
 
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake nenda kanywe naye Chai- JK NYERERE
Ila sijakuona ukienda Ukonga kumtembelea Tundu. Hata Mahakamamni namuona Heche na Boniyai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…