"kama Mimi ananita nyani,alafu Mimi nimefanana na Harmonise basi na Harmonise nae Nyani.
Kwa hiyo kunakuwa na nyani wawili"-Alisika akisema Kwa hisia bwana Harmorapa
Tuulize sisi tuliemuona huyo Rajabu anayejiita Harmonize kipindi anakula ugali wa Muhogo na "chinduli" (Kisamvu) kabla hajaja Dasalama huko na kujiita Harmonize alikuwaje.