Hata kufanana nako hapa wapi nawapi??

Hata kufanana nako hapa wapi nawapi??

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
fa8eadd5ee2effb42b38a30ecf193b6b.jpg
 
>> hao mapacha wa familia tofauti ila ukoo mmoja [makondeni branch]
 
Wote wamedumaa si unajua kukulia kwenye tabu za maisha ya kijijini.
 
Wanafanana sana isipokuwa kitu kimoja tu..."HAMO the rapper himself" hana shobo ya kumuiga domo kila kitu
 
"kama Mimi ananita nyani,alafu Mimi nimefanana na Harmonise basi na Harmonise nae Nyani.
Kwa hiyo kunakuwa na nyani wawili"-Alisika akisema Kwa hisia bwana Harmorapa
 
Tuulize sisi tuliemuona huyo Rajabu anayejiita Harmonize kipindi anakula ugali wa Muhogo na "chinduli" (Kisamvu) kabla hajaja Dasalama huko na kujiita Harmonize alikuwaje.
 
Back
Top Bottom