SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
akitoka huko anachukua kipande cha mkate na kukupa eti karibu tule lol
I don't do weave or any fake hair,bt mkorogo is beyond NN! Kwanza inatia kinyaa,weave inaweza isivutie tu,lol
Afu uswahili ni kama ww. Kinyume chake ni kama lizzy,hope umeelewa sasa eeh?
mtu anakuomba peni,halafu moja kwa moja anaipeleka mdomoni....na kuondoa kizibo kwa mdomo...
akimaliza anakurudishia....lol
Nachukia mnaenda dinner, mtu anakung'ang'ania ujaribu kuonja a piece of sushi/sushimi wakati anajua mimi kamwe sipendi sushi/sushimi. Unaulizwa mara kadhaa kama utapenda ku-taste a piece of it. Unakataa. Unaangalia pembeni na unageuka unakutana na sushi mdomoni......I hate that. Kama sipendi nimeshasema sipendi
I hate it yaani... kama vile umeniona.... Au mtu anaku beep.... Ukimpigia anakuuliza wewe ni nani.... Ama kutopokea kabisa.. Au anakubeep ukimpigia anasema "nilikumiss" nilitaka kukusalim.... Na hizi taarifu zilivoshuka hivi mtu anabeep???
Nimecheka sana...so,you don't eat sushi? :lol:Nachukia mnaenda dinner, mtu anakung'ang'ania ujaribu kuonja a piece of sushi/sushimi wakati anajua mimi kamwe sipendi sushi/sushimi. Unaulizwa mara kadhaa kama utapenda ku-taste a piece of it. Unakataa. Unaangalia pembeni na unageuka unakutana na sushi mdomoni......I hate that. Kama sipendi nimeshasema sipendi
Kwanza kama kweli huweki hayo manywele bandia basi chukua hongera! Napenda sana wadada wanaojikubali jinsi walivyo na hawaoni sababu ya kushonewa manywele bandia ili wafanane na wazungu.
Unakuta mdada kaweka hiyo minywele hadi bangs kaweka! Teh teh...basi akipigwa na upepo kidogo tu anaanza kuziweka sawa hizo kafaulaya kama wadada wa kizungu wafanyavyo!
Penda sana mimi au naturale nubian sisters!
Bora alambe! akitemea je? anatemea, alafu naya sambaza kwa kusugua index na thumb, anahesabu nnoti 5, ya 6 anatema tena. lolVipi wale watu ambao hulamba dole gumba na kuanza kuhesabu hela...halafu akimaliza anakupa hizo hela!
mtu ana ku beep ,unampigia...anakwambia nitumie vocha..
unamtumia....halafu ana ku beep tena...unajiuliza kuna nini tena,unampigia..
anakwambia asante kwa vocha....lol
Zinakuja na kajoto, and a suspicious moisture hivi... kama zinanata...umewahi ona wamama pesa inatoka kwenye matiti???
ndo unapewa lol
You people are soooo disguisting. lol
Au mtu una roll-on deodorant yako na una mazoea ya kuiweka kwenye bathroom counter top halafu anakuja mgeni siku moja anaitumia halafu anaacha kiunywele chake.
Ndiyo maana situmiagi tena hizo roll-ons.
Bora alambe! akitemea je? anatemea, alafu naya sambaza kwa kusugua index na thumb, anahesabu nnoti 5, ya 6 anatema tena. lol
Au mtu una roll-on deodorant yako na una mazoea ya kuiweka kwenye bathroom counter top halafu anakuja mgeni siku moja anaitumia halafu anaacha kiunywele chake.
Ndiyo maana situmiagi tena hizo roll-ons.
RR,kuna watu wanachokonoa pua kwa bidii,afu anai-roll dry makamasi kwa vidole afu anaflip vidole kuyatoa