Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

Mtoa mada
 
Attachments

  • 20230328_182837.jpg
    20230328_182837.jpg
    65 KB · Views: 2
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Lissu atashinda njaa si nafasi ya Mwenyekiti Taifa.
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Mkuu Lissu HAWEZI kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, labda aanzishe chama chake yeye Lema, M h. Msigwa na Heche
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Lisu hawezi kushinda mtakuja kuniambia wafuasi wake wanamdanganya tu
 
Back
Top Bottom