ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Vizuri mkuu ndege JOHNMimi na familia yangu tumejadili Sana kuhusu nafasi ya uraisi na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini Zaid ya miaka 20.
Kweli kabisa sidhani kama ingeleta shida me naona ingekuwa vizuri..asante sana.
Ungekuwa karibu yangu ningekununulia kinywaji unachopenda na nusu kuku na chipsi....
Naiunga mkono familia yako,napenda hawa Wana siasa tuwe tuna wapiga tano nenda tano nenda ikizidi hapo wanatuzoea hawa!!
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Tatizo kile kijumba kinaitwa Ikulu sijui kuna nini mle ndani. Wakishaingia Wana badilikaa!Lisu atuongoze miaka 10, Ila asitutawale kwa miaka 10.
Hata wabunge pia ...hasa wa CCM wanapitisha sheria za kijinga kwa sababu wanajua tu watapita...asante sana.
..ungekuwa karibu yangu ningekununulia kinywaji unachopenda na nusu kuku na chipsi.
..Tz tunatakiwa tupate maraisi wa miaka mitano mitano kama watatu hivi ili wanasiasa waanze kuheshimu wapiga kura.
Sio tiketi ya kuichagua CCM aiseee. Chama changu kimeumiza sana watu kwa sababu ya UBABE wa mtu mmoja tu wa chato.Lissu anatiket ya ubeligiji, October 29 anakwea pipa anatuacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo kile kijumba kinaitwa Ikulu sijui kuna nini mle ndani!
Wkisha ingia Wana badilikaa!!!
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa fisadi au ile biashara haramu tena ulitakiwa uwe gerezani,lissu akipata hata kura laki tano apige magoti kushukuru
Wizi WA ID umeongezeka hii nayo imeibwa.Sio tiketi ya kuichagua CCM aiseee. Chama changu kimeumiza sana watu kwa sababu ya UBABE wa mtu mmoja tu wa chato.
Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini zaidi ya miaka 20...