Uchaguzi 2020 Hata Lissu mwenyewe sitaki atutawale miaka 10

Uchaguzi 2020 Hata Lissu mwenyewe sitaki atutawale miaka 10

Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini zaidi ya miaka 20...
Huyo alishakuwa rais wa tls mwaka mmoja inatosha Sana, ila Kama urais mwingine Hilo halipo popote labda ufipa Kama Kuna cheo Cha urais.
 
Wenzangu Wote Mmewapa Miaka 10
Jamani Nami Nipeni [emoji55][emoji2955][emoji58][emoji57][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa napitia replies zako unaweza unafiki sijapata onaaa!

Au ulipata kesi ya mtandao saivi unakosoa kiakili?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini zaidi ya miaka 20....
Hizo kura zenu hazitatosha kufanya Lissu awe Rais. Watanzania wengi kwenye mikutano yenu, wapo na Magufuli mioyoni mwao.
 
Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini zaidi ya miaka 20.

Hatupo tayari atuongoze tena na sasa tutamchagua Lissu ila na yeye hatutampa miaka kumi akiwa Rais, miaka mitano inatosha kabisa kusafisha serikali kuondoa wale watendaji wabovu waliokaa ofisini na kutoka vitambi maofisa wavivu na wazembe.

Kiufupi huo ndo msimamo wetu, tunapiga maombi lolote litokee lakini sio kukubali kutawaliwa kwa miaka kumi na mtu yoyote.
Najaribu kuwaza kama kweli macho yangu yanaona vizuri au kwa sababu ni usiku? Sitaki kuamini kama hii ni ID ya NdegeJohn. Amedukuliwa huyu. Kama hamyaki kuamini maneno yangu tazameni post na comment za miaka yake miwili mitatu nyuma mtashanga sana.

Lissu baba endelea utuletee nchi tuitakayo
 
Hizo kura zenu hazitatosha kufanya Lissu awe Rais. Watanzania wengi kwenye mikutano yenu, wapo na Magufuli mioyoni mwao.
Unamjua Ndege John au unamsikia? Huyu anaipenda CCM kuliko Makonda, kuliko Majaliwa. Uwe makini na commemt zako.
 
Mnaingiza Familia kwenye Majanga msio yajua.

Wewe ndege JOHN familia yako inakucheki tu. Wamama hawanaga mchezo na maamuzi yao. Subiri sanduku la Kura mkeo akampigie mtu mwingine.
Ndege John nakubaliana naye . Magufuli amelelewa kwenye serikali za kifisadi na baraza la mawaziri wa kifisadi zaidi ya miaka 20. Lipi jipya atalifanya ambalo ameshindwa kwa miaka mitano
 
Sio tiketi ya kuichagua CCM aiseee. Chama changu kimeumiza sana watu kwa sababu ya UBABE wa mtu mmoja tu wa chato.
Ndege John naye amekicha cha chenu. Ndege John namjua vizuri alikuwa pro-magufuli kwa nguvu zote. Mtu yeyote anaeongozwa na dhamira ya kizalendo ya kweli hawezi kumuunga mkono magufuli. Amefanya maovu mengi sana.
 
Najaribu kuwaza kama kweli macho yangu yanaona vizuri au kwa sababu ni usiku? Sitaki kuamini kama hii ni ID ya NdegeJohn. Amedukuliwa huyu. Kama hamyaki kuamini maneno yangu tazameni post na comment za miaka yake miwili mitatu nyuma mtashanga sana.

Lissu baba endelea utuletee nchi tuitakayo
Ni yeye mwenyewe,tangu juzi alishatubu.
 
Najaribu kuwaza kama kweli macho yangu yanaona vizuri au kwa sababu ni usiku? Sitaki kuamini kama hii ni ID ya NdegeJohn. Amedukuliwa huyu. Kama hamyaki kuamini maneno yangu tazameni post na comment za miaka yake miwili mitatu nyuma mtashanga sana.

Lissu baba endelea utuletee nchi tuitakayo
Ni yeye
 
Back
Top Bottom