Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Uchunguzi siyo lazima awe hai.
Haja ya kufanya uchunguzi ipo sana. Nia ni kutaka kutumia uovu uliofanyika chini ya utawala wa marehemu Magufuli kama funzo katika mambo mengi. Watakaothibitika kushirikiana na marehemu katika uovu, lakini wapo hai watashtakiwa. Marehemu yeye hukumu yake ipo huko ambako kila mmoja ataenda siku ambayo Mungu amempangia. Hiyo ni mahakama ya juu zaidi kuliko mahakama zote za Dunia.