Uchunguzi siyo lazima awe hai.
Haja ya kufanya uchunguzi ipo sana. Nia ni kutaka kutumia uovu uliofanyika chini ya utawala wa marehemu Magufuli kama funzo katika mambo mengi. Watakaothibitika kushirikiana na marehemu katika uovu, lakini wapo hai watashtakiwa. Marehemu yeye hukumu yake ipo huko ambako kila mmoja ataenda siku ambayo Mungu amempangia. Hiyo ni mahakama ya juu zaidi kuliko mahakama zote za Dunia.
Kama waliovujiwa nyumba zao Kimara, mita 122 kila upande bila malipo kupisha upanuzi wa barabara Morogoro (njia 8) ambayo upana wake ni mita 40-50. Nashauri mita zaidi ya 80 za kila upande wapimiwe walioadhirika na zoezi hilo kama hakutakuwa na fedha za fidia ama kifuta machozi. Mh. Rais Wanainchi hao wanasubili HURUMA YAKO.Mama anapaswa kuunda tume
Wote waliofanyiwa unyama miaka mitano
Waende kuripoti .. kwenye ushahidi
Wahusika wapelekwe mahakamani ..
Na watu warudishiwe Mali zao walizo porwa
Acha upotoshaji wapi uliambiwa raisi wa JMT anachunguzwa kwenye jinaiKwa ufupi sana.
Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji.
Kwa mambo ambayo alikuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani wake leo hii angekuwa hai alitakiwa kuondolewa kwenye urais na kuchunguzwa kwa kukiuka haki za binaadamu.
Usiniulize angechunguzwa na nani. Hoja yangu ni kwamba alikuwa na kila sifa za kuondolewa urais na kuchunguzwa kwa uvunjifu wa katiba ya nchi na haki za binadamu
Huyu Magufuli alikuwa muhuni sana😂 😂 😂 😂
Mkuu punguza hasira
Ni kweli kabisa sababu wakati wa utawala wake kulikuwa na matukio mengi ya utekaji, unyanyasaji na mauaji pia unyang'anyi na maovu ya kila aina ikiwemo kupigwa risasi nyingi mwanasiasa Lissu.Kwa ufupi sana.
Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji.
Kwa mambo ambayo alikuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani wake leo hii angekuwa hai alitakiwa kuondolewa kwenye urais na kuchunguzwa kwa kukiuka haki za binaadamu.
Usiniulize angechunguzwa na nani. Hoja yangu ni kwamba alikuwa na kila sifa za kuondolewa urais na kuchunguzwa kwa uvunjifu wa katiba ya nchi na haki za binadamu
Asante kwa kulileta hili OKW BOBAN SUNZU.Kwa ufupi sana.
Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji.
Kwa mambo ambayo alikuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani wake leo hii angekuwa hai alitakiwa kuondolewa kwenye urais na kuchunguzwa kwa kukiuka haki za binaadamu.
Usiniulize angechunguzwa na nani. Hoja yangu ni kwamba alikuwa na kila sifa za kuondolewa urais na kuchunguzwa kwa uvunjifu wa katiba ya nchi na haki za binadamu
Huku ndiko walikokuwa wamefika...