Hata Maulidi Kitenge?

Mkuu essence ya kuweka label ya nje kwenye nguo yoyote ni 'marketing'na identification ya product. Ni sawa kabisa na chatter ya Toyota au Mercedes Benz. Hutakiwi kubandua kabisa, au kwa sababu ni suti mkuu ndo imekuchanganya? Designer angeweka ndani tu kama lengo sio ionekane.
 
Mie naona Kitenge aliipania sana ile suti kupiga nayo picha...siunaona alivyojiseti kwa pozi maalumu la kimvutomvuto?? Mapozi kama haya raisi wetu Kikwete anayo saana, yaani hujiandaa mno kupgwa picha.....tehe tehe ni mtazamo tu.
 
ajuzaz..................

haya mkuu. But kumbuka wanasema, wine nzuri ni ile ya zamani si mpya!!!!!!
Ukiwazoea hawa unaowaita maajuza......!!!!!!
 
haya mkuu. But kumbuka wanasema, wine nzuri ni ile ya zamani si mpya!!!!!!
Ukiwazoea hawa unaowaita maajuza......!!!!!!
sina tatizo na wakeze Maulid....nimejibu tu maswali
mtu chake apendacho japo kwako chaweza kisiwe na thamani.......
 
Tumekusikia tumekuelewa! Zile za kihaya na kiruo sio! "I came with my mercedes benz" do I say? wakati kesha sema tayari!!!
 
Wabongo wengi hatuja jua lebo hiyo ni ya nini manake wengi hawajui kwanini ipo hapo, zamani wakati naanza kuvaa suti nilifikiri ni chata na lazima lionekane baada ya kustuliwa nikawa naondoa.

Mie naona bora ibaki ili kutofautisha kati ya wavaa suti wa bongo na elsewhere ili ukiona tu mwana unajua mmatumbi huyo na kama uko transit inakuwa rahisi kumstua mbongo kama vile ndui.
 
Hawa vijana wa siku hizi ni washamba tu hawajui kupiga pamba kikweli kweli na ndio maana hata hizo label hawatoi!!! Label haswa ya designer suit inakaa ndani, hizi za nje zinawasaidia wachuuzi kuhesabu na kujua suit ngapi wanazo na ni za designer gani?? Acheni kuiga hovyo nyie vijana mliosoma shule za yebo yebo!!
 
Hii Sredi nimekosa cha kuandika lakini acha tu wavae sijui Gucci ,DG ,Nike ni vijimambo tu duniania
 
matron aaah bestilady wangu mbona umeandika tayari???

hahahaha bht nimerudi pale nika edit maana tayari nilishaingia ..heading ilinivutia kweli .nikahisi hata maulid naye kaongeza mke wa nne ..🙂
 
Hehehe hizo suti za wanaume wewe hutoweza kuchangia labda za mzee zina lebo?

heheheh kuanzia leo nitakuwa nakagua suti za mzee ,, kisa gani cha kuaibika kwenye masredi namna hii
 
Suiting

Wearing a suit with the tag still on it

I am writing to implore you to address what I consider to be a particularly distressing trend in men's fashion. I have often noticed on men's suit jackets that the designer puts a label on the sleeve of the coat. I have always assumed that it is understood that one is supposed to remove such a label before wearing the coat; however, as I have surveyed the crowds at many social gatherings lately, I've been shocked to spot more than a few sleeve labels being sported without shame. Is it or is it not unconscionably tacky to wear the suit with the tag still on it? Because many labels are made of fabric, I think some people are under the impression that they are part of the suit. Perhaps a message to the masses would be that labels are a secret best kept between you and your tailor.




Every month I get a question or two that make me suspect I'm being put on like a cheap suit. When I first read this letter, that was my suspicion. Frat dudes, perhaps with some money on it, were the writers. But the more I thought about it, the more I had the horrible thought that this is for real. Actually, the labeled sleeve was a trend a few years back in that segment of our society in which voguing was an important social activity. The contestants in voguing balls often wore merchandise fresh from the store, one way or another (purchased with the intention of returning it or shoplifted), and so sometimes labels or even security tags would be attached. This, of course, added to the humor of the performance and the ironic fashion of the unremoved sleeve label. The concept caught on to the extent that some men were sending their jeans to the dry cleaners with pocket flashers still attached. The voguing fashion trends were eventually killed off by Madonna's participation, at least here, in urban ground zero, but perhaps this ghetto thing is just now penetrating the burbs of the outlands. The point of voguing is to be outlandish, outré and bad. I suppose every part of the world needs to experience it. It's punk. In fact, I remember a few sharp rebels wearing the sleeve label back in the days of safety pins. When you think about it, wearing the actual label is far more interesting than wearing a garment that is itself a giant logo. It means you're an aware advertisement, not an unconscious one. Of course, if the label is worn without irony, it's a little sad. In any event, kids will be kids.


this is according to STYLE GUY OF GQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…