Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
hamna mkewe namba moja wala mbili hapo......huyo mbona bado msichana sana ukilinganisha na wakeze
unamaana kuwa wakeze ni wazee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna mkewe namba moja wala mbili hapo......huyo mbona bado msichana sana ukilinganisha na wakeze
Mkuu essence ya kuweka label ya nje kwenye nguo yoyote ni 'marketing'na identification ya product. Ni sawa kabisa na chatter ya Toyota au Mercedes Benz. Hutakiwi kubandua kabisa, au kwa sababu ni suti mkuu ndo imekuchanganya? Designer angeweka ndani tu kama lengo sio ionekane.Basi naona wewe ndio kilaza kweli kweli.
Hizo lebel ni kwa ajili ya kuku -convience kuwa imetoka wapi. Baada ya kufanya uamuzi wa kununa unatakiwa uibandue maana imewekwa temporary tu. Ukiendelea kuivaa unaonekana mshambaaa lakini kwa wajuoao tu sio kama wewe.
ajuzaz..................unamaana kuwa wakeze ni wazee?
ajuzaz..................
sina tatizo na wakeze Maulid....nimejibu tu maswalihaya mkuu. But kumbuka wanasema, wine nzuri ni ile ya zamani si mpya!!!!!!
Ukiwazoea hawa unaowaita maajuza......!!!!!!
sorry, it just came to me like a flood. Na huyo ndiye mkewe number moja au number mbili?
Tumekusikia tumekuelewa! Zile za kihaya na kiruo sio! "I came with my mercedes benz" do I say? wakati kesha sema tayari!!!Mbona baba wa Taifa halikuwa hakulupuki hivyo mkuu? Unaonaje ubadilishe hapo kwenye avatar?
Mkuu, many thanks kwa matusi yako MR. GRITI SINKER wa JF!
Kama ni Blazer, mimi ninazo za kutosha na hakuna hata yenye mlebo unaoufagilia!
Ndio maana nikasema umekurupuka japo umetumia picha ya Nyerere (au unahitaji total ban?) Mara unasema watu wanatumia lebo sio hiyo fabric, sasa mimi nimeongelea ipi na wewe unaongelea ipi? Ushawai kumwona hata Jayz, Tiger Wood, 50cent ama R. Kelly kakupigia suti na mlebo unaninginia.
Kuna tofauti na lebo za kwenye caps mzee. You have gone too far mkuu, hadi utasema nikabandue na neno prado kwenye gari yangu?
LEARN TO CHEW BEFORE YOU SWALLOW!
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?
Si watu muwe mnaangalia/mnachagua thread za kusoma, thread gani sasa hii unasoma wakati haina umuhimu kwako??
hapa naona ni jino kwa jino!You must be SHE, ndio maana huoni umuhimu wa hii thread, kwani tunaongelea lebo za kwenye suti za kiume!
Wewe mama wa kwanza bwana umenichekesha kweli,na hicho ulichoandika je?namaanisha ungekosa cha kuandika usingeandika chochoteHii Sredi nimekosa cha kuandika
Hii Sredi nimekosa cha kuandika
Hii Sredi nimekosa cha kuandika
matron aaah bestilady wangu mbona umeandika tayari???
Hehehe hizo suti za wanaume wewe hutoweza kuchangia labda za mzee zina lebo?
Wewe mama wa kwanza bwana umenichekesha kweli,na hicho ulichoandika je?namaanisha ungekosa cha kuandika usingeandika chochote