Muda wote wana waza ULOZI tu.Ndiyo maana Aden Lage aliwaita Mbumbumbu Maandazi Makolo Madunduka FC... Ukiwa kolo automatically hata marinda unaweza kupoteza kwasabab reasoning capacity inakuwa sifuri...
UmemsahauItopolo ni anather level... mchezaji akiingia huko ni kama ameni ingiza kwenye tanuru... siku akitaka kuondoka kasheshe lake ni balaa.... reference kwa Ngasa, fei na kakolonya
[emoji23][emoji23]Tuache kufanya uchawi wa kuchukua kombe la shirikisho tumfanyie uchawi Nabi!
Mashabiki kama hawa siwaletei hata Manzoki kwenye uchaguzi Eric Omondi tu na uchaguzi napitaKuna club hii ni ya ajabu sana.Kocha wao ameondoka,wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma.
Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine,huwa wanafanyiwa ushirikina na wanapoteza uwezo wao kabisa.
Hata Mayele alijichanganya kwenye mtumbwi wa vibwengo,hawezi toka kirahisi.Zamani nilidhani Mrisho Ngassa alikataa ofa kubwa Sudani kwa ajili ya ujinga wake kumbe alilishwa limbwata na kuwa tayari kula mihogo ili mradi acheza yanga tu.
Hii hali inawapata wachezaji wengi wakiondoka pasipo mashabiki kukubali huwa wanapotea kabisa.
Nampa pole Nabi kwani wazee walishafanya yao
Wewe jamaa unawaaibisha sana mashabiki wa Simba mbwa wewe ndy umeandika Nini hiki?Kuna club hii ni ya ajabu sana.Kocha wao ameondoka,wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma.
Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine,huwa wanafanyiwa ushirikina na wanapoteza uwezo wao kabisa.
Hata Mayele alijichanganya kwenye mtumbwi wa vibwengo,hawezi toka kirahisi.Zamani nilidhani Mrisho Ngassa alikataa ofa kubwa Sudani kwa ajili ya ujinga wake kumbe alilishwa limbwata na kuwa tayari kula mihogo ili mradi acheza yanga tu.
Hii hali inawapata wachezaji wengi wakiondoka pasipo mashabiki kukubali huwa wanapotea kabisa.
Nampa pole Nabi kwani wazee walishafanya yao
Kuna Chumba pale Jangwani kimewekwa Chupa zenye Majasho ya Wachezaji wote Muhimu na Makocha ambapo Ukizingua tu Wazee wanazichukua na Kukuroga kwa Kukufunga ili usifanikiwe uendako. Namuonea mno Huruma Feitoto.Kuna club hii ni ya ajabu sana.Kocha wao ameondoka,wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma.
Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine,huwa wanafanyiwa ushirikina na wanapoteza uwezo wao kabisa.
Hata Mayele alijichanganya kwenye mtumbwi wa vibwengo,hawezi toka kirahisi.Zamani nilidhani Mrisho Ngassa alikataa ofa kubwa Sudani kwa ajili ya ujinga wake kumbe alilishwa limbwata na kuwa tayari kula mihogo ili mradi acheza yanga tu.
Hii hali inawapata wachezaji wengi wakiondoka pasipo mashabiki kukubali huwa wanapotea kabisa.
Nampa pole Nabi kwani wazee walishafanya yao
Vp Saido walimsahau?Kuna Chumba pale Jangwani kimewekwa Chupa zenye Majasho ya Wachezaji wote Muhimu na Makocha ambapo Ukizingua tu Wazee wanazichukua na Kukuroga kwa Kukufunga ili usifanikiwe uendako. Namuonea mno Huruma Feitoto.
Siwezi kukubishia kuhusu hicho chumba maana sijawahi kuingia Jangwani wala Msimbazi. Lakini kuhusu Feisal tatizo halitakuwa kurogwa hata kidogo, yeye tu kajichanganya. Uliwahi kuona wapi mchezaji aliye kwenye peak Barcelona au Real Madrid anakwenda Sevilla?Kuna Chumba pale Jangwani kimewekwa Chupa zenye Majasho ya Wachezaji wote Muhimu na Makocha ambapo Ukizingua tu Wazee wanazichukua na Kukuroga kwa Kukufunga ili usifanikiwe uendako. Namuonea mno Huruma Feitoto.

na wewe pia utarogwa uwe unajinyea hovyohovyoKuna club hii ni ya ajabu sana. Kocha wao ameondoka, wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma.
Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine, huwa wanafanyiwa ushirikina na wanapoteza uwezo wao kabisa.
Hata Mayele alijichanganya kwenye mtumbwi wa vibwengo, hawezi toka kirahisi. Zamani nilidhani Mrisho Ngassa alikataa ofa kubwa Sudani kwa ajili ya ujinga wake kumbe alilishwa limbwata na kuwa tayari kula mihogo ili mradi acheza yanga tu.
Hii hali inawapata wachezaji wengi wakiondoka pasipo mashabiki kukubali huwa wanapotea kabisa.
Nampa pole Nabi kwani wazee walishafanya yao
Hayo majasho ya wachezaji, wanayachukuaje kwenye miili ya wachezaji? Wewe jamaa kwa kujifanya mjuaji na uongo hauna mpinzani humu. Haya endelea kuwapanga watu waliokuwa na upungufu wa uwezo wa kufikiria kama ulivyo wewe.Kuna Chumba pale Jangwani kimewekwa Chupa zenye Majasho ya Wachezaji wote Muhimu na Makocha ambapo Ukizingua tu Wazee wanazichukua na Kukuroga kwa Kukufunga ili usifanikiwe uendako. Namuonea mno Huruma Feitoto.