Kuna club hii ni ya ajabu sana. Kocha wao ameondoka, wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma.
Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine, huwa wanafanyiwa ushirikina na wanapoteza uwezo wao kabisa.
Hata Mayele alijichanganya kwenye mtumbwi wa vibwengo, hawezi toka kirahisi. Zamani nilidhani Mrisho Ngassa alikataa ofa kubwa Sudani kwa ajili ya ujinga wake kumbe alilishwa limbwata na kuwa tayari kula mihogo ili mradi acheza yanga tu.
Hii hali inawapata wachezaji wengi wakiondoka pasipo mashabiki kukubali huwa wanapotea kabisa.
Nampa pole Nabi kwani wazee walishafanya yao