Hata mbwa anamjali anayemjali

Hata mbwa anamjali anayemjali

😅😅wa mkia mbele hamuwezi kuwa na upendo huo

Lakini wote dogs. Hii story Haina Cha codes Wala Nini, ni mbwa kabisa huyu mnyama watu wanafunga na wengine mnatufananisha nao ndio ame show love to this extent imagine.

Upendo wa dhati uliopelekea umauti hadi akafia kwenye kaburi la boss wake. So touching story
 
Lakini wote dogs. Hii story Haina Cha codes Wala Nini, ni mbwa kabisa huyu mnyama watu wanafunga na wengine mnatufananisha nao ndio amen show love to this extent imagine.

Upendo wa dhati uliopelekea umauti Hadi akafia kwenye kaburi la boss wake. So touching story
Kwahiyo unakubali usemi wa wanaume wote ni imbwa😅😅😅 hahaha umeshinda ila muache uzinzi
 
Kwahiyo unakubali usemi wa wanaume wote ni imbwa😅😅😅 hahaha umeshinda ila muache uzinzi
Hiyo ajenda nilishakwambia inahitaji kuunganisha nguvu za Mzee wa upako, Buldoza Mposa Boy, Gwaji na maombi yenu wote.

Kwa Leo mtuache kidogo tujadili upendo wa huyu 🐶
 
Ukiwajali wazazi utajali wengine pia
Kwa hapo napingana na wewe mkuu!

Kuna mwanamke na mwanaume anayewajali sana wazazi wake wa damu lakini hayupo tayari kumsaidia hata Panadol mkwe wake mgonjwa.
 
Mwanamke anapenda pale akiwa ni mama tu basi na wala si vinginevyo
Hapana! Hapana! Hapana mkuu!

Mimi ni shuhuda wa hilo, sema tu kwa sababu fulani sitaki kuweka hadharani kwa sasa.

Wanawake wana upendo mwingi sana! Ukijua kuishi nao na ukawapa nafasi wanazostahili hawatakuangusha.
 
Mbwa wana upendo wa hali ya juu, hii pia imetokea bongo land, kuna mama alifariki mwezi wa pili alikuwa na mbwa wake akimpenda sana. Baada ya maziko yule mbwa alikuwa anakaa mbele ya kaburi na mwisho wa siku akatoroka nyumban, kwa sasa ni mbwa wa mtaani.
So interesting 🤝
 
Back
Top Bottom