Hata mbwa anamjali anayemjali

πŸ˜…πŸ˜…wa mkia mbele hamuwezi kuwa na upendo huo

Lakini wote dogs. Hii story Haina Cha codes Wala Nini, ni mbwa kabisa huyu mnyama watu wanafunga na wengine mnatufananisha nao ndio ame show love to this extent imagine.

Upendo wa dhati uliopelekea umauti hadi akafia kwenye kaburi la boss wake. So touching story
 
Kwahiyo unakubali usemi wa wanaume wote ni imbwaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hahaha umeshinda ila muache uzinzi
 
Kwahiyo unakubali usemi wa wanaume wote ni imbwaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hahaha umeshinda ila muache uzinzi
Hiyo ajenda nilishakwambia inahitaji kuunganisha nguvu za Mzee wa upako, Buldoza Mposa Boy, Gwaji na maombi yenu wote.

Kwa Leo mtuache kidogo tujadili upendo wa huyu 🐢
 
Ukiwajali wazazi utajali wengine pia
Kwa hapo napingana na wewe mkuu!

Kuna mwanamke na mwanaume anayewajali sana wazazi wake wa damu lakini hayupo tayari kumsaidia hata Panadol mkwe wake mgonjwa.
 
Mwanamke anapenda pale akiwa ni mama tu basi na wala si vinginevyo
Hapana! Hapana! Hapana mkuu!

Mimi ni shuhuda wa hilo, sema tu kwa sababu fulani sitaki kuweka hadharani kwa sasa.

Wanawake wana upendo mwingi sana! Ukijua kuishi nao na ukawapa nafasi wanazostahili hawatakuangusha.
 
So interesting 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…