Hata Merino ambaye ni majeruhi alirukaruka kwa furaha baada ya Arsenal kutwaa ubingwa

Hata Merino ambaye ni majeruhi alirukaruka kwa furaha baada ya Arsenal kutwaa ubingwa

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth.

Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli.

Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni shangwe na Nderemo.

Lakini cha kushangaza kiungo mshambuliaji wa Arsenal Mikel Merino ambaye ni majeruhi naye alirukaruka kwa furaha.

Kusema kweli huu ulikuwa msimu wao Arsenal furahieni.
 
Acha tufurahie Mkuu

Miaka 22 sio mchezo, ingekuwa ndiyo kwenye maisha ya Ndoa mwanaume unapitia huo msoto wa kipato, saa ngapi mke asikukimbie

COYGs 💪
 
Back
Top Bottom