Tuue wanaotukosoa bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inayofaa!
Tudhamini vyama mbadala ili kuonesha dunia kuna upinzani, bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi,
Tuwaweke wapinzani wetu ndani na kuwafungulia kesi nzito nzito za uhaini, na ikibidi tuwanyonge kabisa, bado WaTanzania tunataka Tume Huru ya Uchaguzi na mabadiliko ya Katiba yetu,
Tuwakamate raia wa nje ya nchi wanaokuja kusikiliza kesi ya TAL, bado WaTanzania tunataka Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inatotupatia haki za kiraia,
Tuibe Uchaguzi wa 2025, bado WaTanzania tutataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba yenye matakwa ya wananchi wenyewe,
Tujitangaze sisi ndiyo wagombea mapema haiwezi kuhalalisha kuwa ushindi wetu utatokana na Tume Huru ya Uchaguzi,
Tuwazuie CHADEMA kwenye kushiriki Uchaguzi haitahalalisha hoja ya CHADEMA kuwa NRNE ni hoja mfu,
Hata CHADEMA wabakiwe na mtu mwanachama mmoja bado legacy ambayo wameshaiweka hamna CHAMA kingine chochote Tanzania kimefikia.
SULUHISHO ni nini?
Sana sana ni chama changu CCM kujirekebisha tu, kwani watoto wetu hawatuelewi kabisa! Ya GENs Kenya yameshafika huku, ninasubiri tu auwawe mwanangu au ndugu yangu nami nijilete kwenye mitutu yenu mniue nikiwa ninatabasamu!