Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Si amteke SSH?! Mbona alikuwa kiongozi wa genge la kuteka upinzani enzi zake? Sasa hivi anashindwa nini kwa wanaccm wenzake wasiomsikIliza hadi abaki akilialia mtaani?
 
Wakati yeye alivyokuwa anafurahia wavuvi kuteswa kuchomewa malizetu nakuteka mashine zetu zaboat hakutuonea huruma apambane nahali yake mwanakuni zamkambaa tena wangemsubiri Wangemueka na mitama mnafiq huyo
 
Hata kipindi kile kifurahia kuwa nae wakati akiumiza wengine,bado hao aliokuwa akiwaumiza sisi watanzania wengine tulikuwa nao vilevile.
 
chadema wanafurahia sana kuvamiwa polepole na sisi tunafurahia mbowe kuwekwa jela na afungwe
 
Naona unaowalaumu sio na wala hawahusiki, wanatoa tuu maoni yao kama wewe, ukijua Bulembo ni nani au TRCA or whatever labda akili itarudi na kujua wanaofurahia na kumwonea ni kina nani, sisi tunamkumbusha yanayomkuta sio mageni na alikuwa anayafurahia na hata kupongeza polisi kwa kufanya kazi yao
 
Uzalendo kununua wapinzani na kuongoza wizi wa kura!!! tuache ujinga
 
Polepole alisema wapinzani ni sawa na Corona..

Bashiru Ali akasema watatumia dola kubaki madarakani na kweli wakatumia kuvuruga na kuleta uchaguzi mbovu kuwahi kutokea..

Mama yenu akasema hata wakipigia kura upinzani CCM ndio itaunda serikali..

Kwa kauli hizi na maanguko ya hawa watu mmoja baada ya mwingine unadhani tutahuzunika?

Kwangu mimi never siwezi kuhuzukina wavune walichopanda
 
Hicho kichaka kinachoitwa wananchi kilishaungua muda mrefu. Huyo Polepole alishiriki kwenye ukatili wote wa siasa chafu za Magufuli, na wananchi hilo tunalijua.
 
Hamna lolote pole pole Leo hii anapingwa kwa sababu watu wanaona Hana uhalali nae ni mchumia tumbo tu, wakati yupo kwene system alikaa kimya haya yakifanyika tena waliojarbu kumkosoa magufuli walikiona cha moto... Leo yy ni Nani aongee kwa uhuru wakat alishiriki kuziba wengine midomo... Akwende zake tena siku nyingine wambane na pumbu kabisa... Viongozi wa ki Africa wapuuzi Sana wakiwa wa nakula yanaangalia tu matumbo Yao wakiwa hawapo kwene system ndio yanakumbuka mambo muhimu uyu wambane pumbu iwe fundisho
 
Hicho kichaka kinachoitwa wananchi kilishaungua muda mrefu. Huyo Polepole alishiriki kwenye ukatili wote wa siasa chafu za Magufuli, na wananchi hilo tunalijua.
Wewe kukataliwa na wananvho sio sababu ya kumchafua Polepole na hayati JPM
 
Hakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.

Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?

ACHA UNAFKI.
Na Hawa ndio walikuwa Mastermind ya kupigwa risasi kwa lissu
 
Mimi Mtanzania, MwanaCCM, Mtumishi wa Serikali nasimama mbele kabisa nikisema, NIPO PAMOJA NA POLEPOLE!
 
Anakosoa baada ya kupoteza cheo na kuwa mbunge wa kawaida tu. Angekuwa na cheo chake leo hii asingesumbuka kufundisha siasa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…