Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Kwa hiyo unawahitaji Wapinzani wamsaidie Polepole kwenye harakati zake? Vi8 zake hazina msaada kwake tena?
 
Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe? Atakula alikopeleka mboga.
Halafu uki zoom kwenye picha chumbani kwake alipopekuliwa na watu wasiojulikana utaona ky gell,Sasa tunataka maelezo ya kina ile ky gell alikuwa anaitumiaje!!!!!!! Tofauti na hapo atusibitishie kuwa sio yake nakwamba walikuja nayo watu wasiojulikana for further use.
 
😄😄😄 Wahuni sio Watu aisee.
 
Hakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.

Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?

ACHA UNAFKI.
Mkuki kwa nguruwe mkuu

Muosha uwoshwa

Gwaride limegeuka

Ova
 
chadema wanafurahia sana kuvamiwa polepole na sisi tunafurahia mbowe kuwekwa jela na afungwe
Hapana umekosea Sana, ni kiongozi gani was CHADEMA ametoa kauli rasmi kuwa CHADEMA inafurahia yanayomtokea polepole. Polepole anapingana na wana CCM wenzake Tena kawaita wahuni. Usiingize CHADEMA kwenye karma inyoitafuna CCM. Mimi nadhani Mungu alishatoa mwongozo kwa kumchukua yule jamaa baada ya ukatiri kuzidi. Hivyo hata mkimfunga mbowe haitasaidia maana ombi la wanna CHADEMA lilijibiwa.
 
Ninachojua maisha ya vyama ni kushindana kwa hoja na sio kutishana na maneno maneno.
 
Hiyo geto sio ya kiroboto nitaweka wazi soon!!
 
Kutesa kwa zamu Nape zamu yake ilipita na Polepole imepita hakuna hata mmoja wao kuwa nae bega kwa bega aliyopo sasa ndo wakuwanae bega kwa bega hadi zamu yake itakapoishia

Hawa Nape na Polepole wanatweswa na ujana wa visasi.
 
Watanzania watakaokuwa nae toka moyoni ni Baba na Mama yake tu.
 
Sukuma gang kti utopolo wenu 🤣 🤣
 
Wewe hivi unaelewa unachosema?
 
Wanaofurahia siyo wapinzani tu hata wanaccm wengi sana wanafurahia kwani anavuna alichopanda. Tena hao wana CCM ndiyo wabaya sana kwani wanao uwezo hata wa kumpoteza kabisa Polepole kwenye uso wa dunia, wapinzani wanaishia huku huku miatandaoni. Kwa ujumla CCM wakiumana sisi tunashangilia sana hata wakiuana kabisa kwetu ni sherehe kwani hao ni maadui wakubwa kwetu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…