Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Nchi ni kama inarudi kulekule kwa majizi.....Mungu asimame.
 
Hakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.

Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?

ACHA UNAFKI.
Well said
 
Acheni kutubwekea, kuweni n'a uvumilivu wapuuzi Nyie, je walio pamoja n'a Lisu,mbowe,azor,ben9 nao wasemeje. Mnadhani Mungu ni wenu tu !.

Mkayamalize Lumumba, hapa hapawafai Zombie.

Kwani ç nyinyi kwa nyinyi.
 
Nishike lipi 1au A mwenzenu kuhusu Polepole inanichanganya!
[emoji116][emoji116]
1- Warumi 12
17 Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.

18 Kama yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote.

19 Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

20 Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.

21 Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.


وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ A

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
 
Yuko wapi Fredrick Ngoyai Lowasa? Yuko wapi Frederick sumaye?
 
Hakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.

Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?

ACHA UNAFKI.
Achana na mambo ya Lissu raisi mtarajiwa 2025 wa waishio ndotoni
Kesi huko inawashinda kazi kutoa mapingamizi yasiyo na mashiko kila siku,,, Hamuwezi shinda kesi kwa kuweka mapingamizi au huo ndiyo ushauri wa Lissu aliyesoma sheria kuliko watanzania wote wakati alisomea bongo na walimu wa kitanzania.
Badilikeni kuweka mapingamizi na kuchagua majaji huyu hafai huyu hafai bora mjihukumu wenyewe Lissu awe jaji hata kama kesi haina mashiko mapingamizi siyo utetezi wa mashtaka,,, kesi ya kijinga mnashindwa kujitetea kazi kukataa majaji
 
Ulipomtaja jiwe ndipo ulipoharibu
 
Yaan wew ndo kipofu wa kwanza paspo hata wasiwasi
 
Read between lines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…