Hata miaka 10 hatujatoboa unataka ndoa ya nini?

Hata miaka 10 hatujatoboa unataka ndoa ya nini?

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Wanaume wenzangu mnaweza vipi kuwamudu wanawake wenye njaa ya kuolewa [emoji276]?

Mwanamke hata miaka 10 hatujatoboa unataka ndoa ya nini?
 
Wanaume wenzangu mnaweza vipi kuwamudu wanawake wenye njaa ya kuolewa [emoji276]
Mwanamke hata miaka 10 hatujatoboa unataka ndoa ya nini ?
Yaani unataka mkae zaidi ya miaka 10 ndiyo umuoe? Wewe ndiye una shida.
 
Mwanamke akifika 20s tu anawaza ndoa iyo ni kawaida coz yupo katika prime time yake.
 
Back
Top Bottom