M mawazo20 New Member Joined Apr 3, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Aug 20, 2013 #1 kama kuna mtu anafahamu zaidi juu ya international relation naomba anifahamishe vya kutosha ili na mimi nijiunge na course hiyo kwani naipenda sana
kama kuna mtu anafahamu zaidi juu ya international relation naomba anifahamishe vya kutosha ili na mimi nijiunge na course hiyo kwani naipenda sana
nyakubi Senior Member Joined Jul 29, 2013 Posts 173 Reaction score 58 Aug 20, 2013 #2 By the way ni course nzuri guess utaipata UDOM tu kwa tz
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Aug 20, 2013 #3 unaipenda lakn jiandae kusota nyumban baada ya kuitmu dgree
F flyn ryder JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 656 Reaction score 86 Aug 20, 2013 #4 sister wng amegraduate mwaka 2011 ametafuta kazi mpaka amechoka!!saiv amefungua duka..
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,296 Aug 20, 2013 #5 nyakubi said: By the way ni course nzuri guess utaipata UDOM tu kwa tz Click to expand... Center for foreign relationship(CFR)kurasini japo hawatoi degree.kuna post graduate,diploma na certificate.
nyakubi said: By the way ni course nzuri guess utaipata UDOM tu kwa tz Click to expand... Center for foreign relationship(CFR)kurasini japo hawatoi degree.kuna post graduate,diploma na certificate.
nyakubi Senior Member Joined Jul 29, 2013 Posts 173 Reaction score 58 Aug 20, 2013 #6 yeah! najua hilo bt me nlimaanisha kwa Bachelor degree tu.