hata mim nahitaji jibu juu ya international relation

hata mim nahitaji jibu juu ya international relation

mawazo20

New Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
2
Reaction score
0
kama kuna mtu anafahamu zaidi juu ya international relation naomba anifahamishe vya kutosha ili na mimi nijiunge na course hiyo kwani naipenda sana
 
By the way ni course nzuri guess utaipata UDOM tu kwa tz
 
unaipenda lakn jiandae kusota nyumban baada ya kuitmu dgree
 
sister wng amegraduate mwaka 2011 ametafuta kazi mpaka amechoka!!saiv amefungua duka..
 
By the way ni course nzuri guess utaipata UDOM tu kwa tz

Center for foreign relationship(CFR)kurasini japo hawatoi degree.kuna post graduate,diploma na certificate.
 
yeah! najua hilo bt me nlimaanisha kwa Bachelor degree tu.
 
Back
Top Bottom