Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 #1 Aman iwe nanyi Naona mnajifanya kama hamjui Endeleen kujificha kwa makwinyo lakin mjue kuwa leo tumemlalua alliances Yanga nguvu moja LONDON BOY
Aman iwe nanyi Naona mnajifanya kama hamjui Endeleen kujificha kwa makwinyo lakin mjue kuwa leo tumemlalua alliances Yanga nguvu moja LONDON BOY
Arabi Nanjewa JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 325 Reaction score 410 Nov 29, 2019 #2 Hongera kwetu wananchi
R Rotomoto JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 1,016 Reaction score 2,021 Nov 29, 2019 #3 Wataongea nini, walisema msimu huu hawatapoteza tumeshuhudia wakidroo na kufungwa, lipi watalisema kwa sasa?, labda la kumfukuza kocha wao
Wataongea nini, walisema msimu huu hawatapoteza tumeshuhudia wakidroo na kufungwa, lipi watalisema kwa sasa?, labda la kumfukuza kocha wao
Magna Carta JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 4,347 Reaction score 6,652 Nov 29, 2019 #4 Simba huwezi kuwaona, wanajadili ya Unai na Mwakinyo, Pongezi kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote wa Yanga
Simba huwezi kuwaona, wanajadili ya Unai na Mwakinyo, Pongezi kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote wa Yanga
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #5 Arabi Nanjewa said: Hongera kwetu wananchi Click to expand... Amen
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #6 Watapata aibu sana kutaka kushindana na nguvu ya wananchi/umma Rotomoto said: Wataongea nini, walisema msimu huu hawatapoteza tumeshuhudia wakidroo na kufungwa, lipi watalisema kwa sasa?, labda la kumfukuza kocha wao Click to expand...
Watapata aibu sana kutaka kushindana na nguvu ya wananchi/umma Rotomoto said: Wataongea nini, walisema msimu huu hawatapoteza tumeshuhudia wakidroo na kufungwa, lipi watalisema kwa sasa?, labda la kumfukuza kocha wao Click to expand...
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #7 Yanga Nguvu moja Nemo Judex said: Simba huwezi kuwaona, wanajadili ya Unai na Mwakinyo, Pongezi kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote wa Yanga Click to expand...
Yanga Nguvu moja Nemo Judex said: Simba huwezi kuwaona, wanajadili ya Unai na Mwakinyo, Pongezi kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote wa Yanga Click to expand...
Magna Carta JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 4,347 Reaction score 6,652 Nov 29, 2019 #8 Beira Boy said: Yanga Nguvu moja Click to expand... Hapana ni Daima mbele nyuma mwiko
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #9 Asante sana Nemo Judex said: Hapana ni Daima mbele nyuma mwiko Click to expand...
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,496 Reaction score 8,491 Nov 29, 2019 #10 Tumelalua ndio nini?
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Nov 29, 2019 #11 Ndio maana Gentamycin huwa snawatukana...anaye takiwa kuleta hizo habari au update humu ni Simba au Yanga...hebu kueni bwana!
Ndio maana Gentamycin huwa snawatukana...anaye takiwa kuleta hizo habari au update humu ni Simba au Yanga...hebu kueni bwana!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 29, 2019 #12 Nikajua ni thread ya Ngoma tena
Magna Carta JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 4,347 Reaction score 6,652 Nov 29, 2019 #13 sawima said: Tumelalua ndio nini? Click to expand... Si ishu mkuu huo ugonjwa hauna tiba, wewe weka Tumetatua alafu toa pongezi au na wewe ni Mkia Fc
sawima said: Tumelalua ndio nini? Click to expand... Si ishu mkuu huo ugonjwa hauna tiba, wewe weka Tumetatua alafu toa pongezi au na wewe ni Mkia Fc
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #14 Wewe utakuwa ni mkia fan's sawima said: Tumelalua ndio nini? Click to expand...
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #15 Huyo ni shabiki wa mkia Nemo Judex said: Si ishu mkuu huo ugonjwa hauna tiba, wewe weka Tumetatua alafu toa pongezi au na wewe ni Mkia Fc Click to expand...
Huyo ni shabiki wa mkia Nemo Judex said: Si ishu mkuu huo ugonjwa hauna tiba, wewe weka Tumetatua alafu toa pongezi au na wewe ni Mkia Fc Click to expand...
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Nov 29, 2019 #16 Siku Yanga akishinda hadi baadhi ya wachambuzi wa soka hujifanya hakuna kilichotokea lakini ngoja kuwe na matatizo Yanga yaani watatumia dakika karibu zote za vipindi vyao kuwajadili Yanga na matatizo yake.
Siku Yanga akishinda hadi baadhi ya wachambuzi wa soka hujifanya hakuna kilichotokea lakini ngoja kuwe na matatizo Yanga yaani watatumia dakika karibu zote za vipindi vyao kuwajadili Yanga na matatizo yake.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Nov 29, 2019 #17 Mbumbumbu wameejificha kwa Mwakinyo
wadzelino JF-Expert Member Joined Sep 16, 2019 Posts 225 Reaction score 385 Nov 29, 2019 #18 Ngoja wananchi wakutane na azam Huwezi jipima kwa walokata tamaa,ukajisifu
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,267 Reaction score 4,634 Nov 29, 2019 #19 Sisi ndo wataalamu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 29, 2019 Thread starter #20 Azam ndo uchafu gan mbele ya nguvu ya uma wadzelino said: Ngoja wananchi wakutane na azam Click to expand...
Azam ndo uchafu gan mbele ya nguvu ya uma wadzelino said: Ngoja wananchi wakutane na azam Click to expand...