Siku Yanga akishinda hadi baadhi ya wachambuzi wa soka hujifanya hakuna kilichotokea lakini ngoja kuwe na matatizo Yanga yaani watatumia dakika karibu zote za vipindi vyao kuwajadili Yanga na matatizo yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.