Hata MO naamini anajua ukweli kua GSM haharibu Ligi ila ni Ujinga wenu Mashabiki wa Simba mnalishwa na waandishi wanaolipwa kumsema GSM.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Ushawahi kujiuliza why Akishinda Simba na akawa anaongoza Ligi hata kama kamzidi Yanga point 1 ila hutasikia kelele za Kua GSM anaharibu Ligi Kwa kusema ana toa sponsorship Kwa Team nyingi.

Simba kipindi Cha Nyuma alikua anaongoza Ligi Kwa gap la point 1 kwenye Vilinge na kwenye Redio kulikua hakuna kelele za kusema GSM ana haribu Ligi ilikua huu Mwaka wetu na tumedhamiria sana.

Ila ilivyofikia tu kuzidiwa wao Point Moja na wakaona Team yao inaelekea kupigiwa na Derby izidiwe point 4 wameanza Tena story za GSM.

Niwaambie tu Wana Simba hua mnajichelewesha wenyewe hata MO hua anawaona Wajinga sana mngekua na Ile consistency ya kumlaumu GSM hata kama kipindi mpo kileleni MO angewaelewa hata TFF ingewaelewa mtu yeyote angewaelewa ila hizi kelele za kua Zina ibuka pale mkiona mambo hayawaendei sawa na kukaa kimya wakat mambo yapo sawa inafikirisha sana na hapo inakua Jibu kua wanasimba mnajua ukweli na viongozi wenu wanao watuma mseme Hayo maneno ya kua GSM anaharibu Ligi wanajua ukweli kua Team yenu Haina uwezo so ikifikia mda huo wa kushuka mnaanza kuitumua hio Fimbo.

Ila uhalisia utabaki kua Yanga hakuna anachobenefit kutokana Hilo na Nyie Team yenu bado Haina uwezo wa ku battle na Team zote za Ligi Kwa Level ya Yanga, timu yenu itahangaika sana.
 
kaka achana na majitu mambumbumbu/majinga kabisa yasiyojielewa!huwa wanatafuta sehemu ya kutupia lawama zao!ili wakikosa kitu waseme fulani kachangia!!
 
Leta hoja zako na wewe tulinganishe na za mwenzako,,unapotukana bila hoja unaonekana wewe ndio bogus kabisa kuliko mwenzako
Mkuu Hadi nimewaza wengine kwanini hua wanakimbilia kutukana tu Yani hajulikan hata anatukania Nini.

Bora akasema maelezo yake na hoja zake then akamaliza na Hayo matusi aliyofunzwa..ila sasa duuh
 
kaka achana na majitu mambumbumbu/majinga kabisa yasiyojielewa!huwa wanatafuta sehemu ya kutupia lawama zao!ili wakikosa kitu waseme fulani kachangia!!
Yani wao wakishinda na wanaongoza hakuna GSM... wakifungwa sasa
 
Ushawahi kujiuliza why Akishinda Simba na akawa anaongoza Ligi hata kama kamzidi Yanga point 1 ila hutasikia kelele za Kua GSM anaharibu Ligi Kwa kusema ana toa sponsorship Kwa Team nyingi.

Simba kipindi Cha Nyuma alikua anaongoza Ligi Kwa gap la point 1 kwenye Vilinge na kwenye Redio kulikua hakuna kelele za kusema GSM ana haribu Ligi ilikua huu Mwaka wetu na tumedhamiria sana.

Ila ilivyofikia tu kuzidiwa wao Point Moja na wakaona Team yao inaelekea kupigiwa na Derby izidiwe point 4 wameanza Tena story za GSM.

Niwaambie tu Wana Simba hua mnajichelewesha wenyewe hata MO hua anawaona Wajinga sana mngekua na Ile consistency ya kumlaumu GSM hata kama kipindi mpo kileleni MO angewaelewa hata TFF ingewaelewa mtu yeyote angewaelewa ila hizi kelele za kua Zina ibuka pale mkiona mambo hayawaendei sawa na kukaa kimya wakat mambo yapo sawa inafikirisha sana na hapo inakua Jibu kua wanasimba mnajua ukweli na viongozi wenu wanao watuma mseme Hayo maneno ya kua GSM anaharibu Ligi wanajua ukweli kua Team yenu Haina uwezo so ikifikia mda huo wa kushuka mnaanza kuitumua hio Fimbo.

Ila uhalisia utabaki kua Yanga hakuna anachobenefit kutokana Hilo na Nyie Team yenu bado Haina uwezo wa ku battle na Team zote za Ligi Kwa Level ya Yanga, timu yenu itahangaika sana.
Peleka huko ushabiki wako
Nani asiyekuja kuwa GSM wanaharibu wetu
 
Uzwazwa huu
 
Back
Top Bottom