Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
haha, habari ndyo hiyo...Kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
Kiswahili ni lugha ambayo asili yake inatokana na biashara iliyoanzia pwani ya Afrika Mashariki. Wafanyabiashara kutoka nchi mbalimbali wkijumuika na wenyeji walivumbua lugha ambayo walikuwa wanaelewana katika biashara na mawasiliano. Hiyo usishangae kuwa katika Kiswahili kuna kiarabu, kibantu, kiingereza, kijerumani, kireno, kihindi, kichina n.k. Kwa ufupi Kiswahili ni lugha yetu haswa!
Nakubaliana nawe kabisa mkuu. Na isitoshe lugha hukua kwa njia mbalimbali mojawapo ikiwa ni kuazima 'to borrow' misamiati kutaka lugha nyingine.
Kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
Kiswahili kweli si chetu. .. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
Hata ilo neno Sawahil (swahili) pia tumekopa.
Jina la 'Kiswahili' linatokana na wingi wa neno la Kiarabu sawāḥil (سواحل😉 nalo ni sāḥil (ساحل😉, maana yake "Mpaka (boundary)" au "pwani" (hutumika kama kivumishi kumaanisha "watu wa pwani" au, kwa kuongeza neno 'ki-' ina maanisha "pwani ya Waswahili").
Neno Lugha, Lakini yote yana asili ya Kiarabu...!
Labda hatukuwa na miswaki (tulikuwa hatupigi mswaki), kama ambavyo hatukuwa na meza (kireno), shule (kijerumani) n.k., n.k.
Mziwanda, unategemea nini lugha ambayo imechukuwa almost 40% ya misamiati kutoka Lugha nyingine?kifupi tukubali kuwa ustaarabu tumefundishwa na wageni
Mziwanda, unategemea nini lugha ambayo imechukuwa almost 40% ya misamiati kutoka Lugha nyingine?
Kwenye sentesi moja tu ya kiswahili sidhani kama unaweza kukosa neno la kiarabu...! Ni ngumu sana kwa sasa kupata lugha ambayo haina mkopo kutoka lugha nyingine...!
Kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. Hata hili neno kumbe tumedesa!
[B said:Kekuye[/B];688031]Nakubaliana nawe kabisa mkuu. Na isitoshe lugha hukua kwa njia mbalimbali mojawapo ikiwa ni kuazima 'to borrow' misamiati kutaka lugha nyingine.
kithwahili kigumu jamani!.Unajina zuri ile mbaya
Ni kweli maneno yako...!ni kweli ila kwa kiswahili ni too much. Labda lugha nyingine iliyokopa sana ni kifaransa, toka kingereza
Hata neno Kanisa pia... Neno Rais... Jamhuri, Waziri, wizara, Almashauri, Serikali, Kitabu, Makataba, Dunia, Binamu, Binti.... Na hata jinsi ya kuhesabu.unashangaa mswaki, wakati hata neno samaki tumepiga desa.
Duh! Angalia wenyewe wasikusikie!Kumbe ndo maana hata 'chaguo la mungu' anaruka kila mara kwenda kudesa nje! Juzi kaenda kudesa kubembeaaaa duh!
Duh! Angalia wenyewe wasikusikie!