Hata Netanyahu analia kaibiwa kura, kumbe madai ya tume huru hapa ni kiini macho tu

Hata Netanyahu analia kaibiwa kura, kumbe madai ya tume huru hapa ni kiini macho tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura.

Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.

Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?

Nadhani shida sio tume bali sera.
 
HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura. Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.

Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?

Nadhani shida sio tume bali sera.
Benjamin Netanyahu ni mfa maji
 
Kumbuka huyo ni kiongozi aliyeko madarakani hatumii nguvu wala hujuma kuwazuia wapinzani wake.
 
Hiyo ni kawaida kwa binadsmu yeyote aloyekuwa na uongozi wa juu akishindwa kuna ile hali ya aibu na kujiona hsyupo salama lazima atoe miliooo huoni simba kaifunga yanga ila wanayanga wanamlaumu refa au kocha

Lazima awepo wa kulaumiwa
 
Kumbuka huyo ni kiongozi aliyeko madarakani hatumii nguvu wala hujuma kuwazuia wapinzani wake.
Shida sio tume, bali wapiga kura hawakukupigia. Kura nyingi huwezi kuziiba, haziibiki.
 
HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura.

Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.

Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?

Nadhani shida sio tume bali sera.
Acha kulinganisha ulaji wa heŵa na ugali ndugu!
 
Acha kulinganisha ulaji wa heŵa na ugali ndugu!
Kaka duniani kote tume ya uchaguzi ni nzuri sana kama ukishinda, na mbaya sana ukishindwa.

Hata sisi hapa tume hiihii hivihivi iliwafanya watu wakashinda ubunge na udiwani wengi tu ajabu.

Tume ilianza kuwa mbaya pale waliposhindwa uchaguzi na kuenguliwa kugombea.

Sababu kuu za kuenguliwa kugombea zilikuwa 2 tu

1. Wapinzani wakifika bungeni wanapinga kila kitu, wanachelewesha maendeleo. Ukitaka kujenga bwawa wanapinga, kununua ndege zetu wanapinga, kulinda tembo wanapinga, kufukuza wanaotuibia wanapinga, ukijenga shule wanapinga bila kutoa njia mbadala.

2. Kuna kiongozi alitamani kuondoa ukomo wa urais kwenye Katiba. Hakutaka wapingaji bungeni wakati hoja hiyo inaletwa bungeni.
 
😂😂 angeomba msaada lumumba
Kaka hakuna Katiba, tume ya uchaguzi, sera, muungano au maamuzi utakosa mtu asiyekubaliana navyo. Kikubwa angalia walio wengi tu wanasemaje. Kama akijitokeza mtu mmoja analazimisha kubadili kilichokubalika na wengi lazima umwambie NO bila kuremba meneno, kama akishupaza shingo lazima apambane na ile kanuni ya the survival of the fittest. Dola lazima liwe fit na standby all the time kukabiliana na watu wa aina hiyo maana wapo na watakuwepo siku zote.
 
Back
Top Bottom