Benjamin Netanyahu ni mfa majiHAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura. Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.
Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?
Nadhani shida sio tume bali sera.
Kumbuka huyo ni kiongozi aliyeko madarakani hatumii nguvu wala hujuma kuwazuia wapinzani wake.HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura. Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.
Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?
Nadhani shida sio tume bali sera.
Basi wafa maji wajo wengi sana duniani, hata huku tunao kibao.Benjamin Netanyahu ni mfa maji
Acha kulinganisha ulaji wa heŵa na ugali ndugu!HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura.
Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.
Hapa kwetu tunauana eti kupata tume huru ya uchaguzi. Tutaipataje tume huru itakayokubalika na wote?
Nadhani shida sio tume bali sera.
Kaka duniani kote tume ya uchaguzi ni nzuri sana kama ukishinda, na mbaya sana ukishindwa.Acha kulinganisha ulaji wa heŵa na ugali ndugu!
Kaka hakuna Katiba, tume ya uchaguzi, sera, muungano au maamuzi utakosa mtu asiyekubaliana navyo. Kikubwa angalia walio wengi tu wanasemaje. Kama akijitokeza mtu mmoja analazimisha kubadili kilichokubalika na wengi lazima umwambie NO bila kuremba meneno, kama akishupaza shingo lazima apambane na ile kanuni ya the survival of the fittest. Dola lazima liwe fit na standby all the time kukabiliana na watu wa aina hiyo maana wapo na watakuwepo siku zote.😂😂 angeomba msaada lumumba