Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Tafadhari mkuu, niambie pia urefu wako katika cm na uzito wako ktk kg. nitarudiJF members naomba msaada wenu ili niliweza kutatua tatizo hili, mara nyingi nakula na kushiba usika lakini ikifika majira ya saa nane usiku au asubuhi najisikia njaa sana.
msaada please
Nina kilo 51.4 na urefu wa cm 162Tafadhari mkuu, niambie pia urefu wako katika cm na uzito wako ktk kg. nitarudi
huwa na kula saa 3 hadi 4 usiku, mara nyingi napendelea kula wali, ni tatizo linalojitokeza mara kwa mara lakini sio kila siku,nimeoa na kwa siku atleast kimojaKwani huwa unakula nini usiku!?? Na unakula usiku wa saa ngapi? Ni tatizo la kila siku usiku au? hali yako ya ndoa ikoje? Nadhani ukijibu haya utakuwa umetoa mwanga wa kusaidia :whistle:
Kapime minyoo ndugu yangu, mie nilikua na tatizo hilohilo, Alhamdulilah nimepona
JF members naomba msaada wenu ili niliweza kutatua tatizo hili, mara nyingi nakula na kushiba usika lakini ikifika majira ya saa nane usiku au asubuhi najisikia njaa sana.
msaada please
Mkuu, vipimo vyangu vinaonesha huna tatizo lolote. Unafanya sana mazoezi?Nina kilo 51.4 na urefu wa cm 162
wewe nawe mambo gani hayo umetumia vipimo gani kujua anafanya mazoezi acha kujifanya hujui kumbe unajua.mkuu, vipimo vyangu vinaonesha huna tatizo lolote. Unafanya sana mazoezi?
nazunguka uwanja wa mpira mara nane, na mara mbili hadi tatu kwa wikiMkuu, vipimo vyangu vinaonesha huna tatizo lolote. Unafanya sana mazoezi?
Nashukuru mkuu, baada ya kunipatia uzito na urefu wako, nilibaini kuwa pamoja na kuwa unakula mara kwa mara lakini bado hakukuwa na madhara hasi sana kwa kuwa ungekuwa unakula kula mara kwa mara na uzito wako unazidi kiasi unachopaswa kuwa nacho, basi hilo ndilo lingekuwa tatizo zaidi.nazunguka uwanja wa mpira mara nane, na mara mbili hadi tatu kwa wiki
Ahsante jamaanguHiyo minyoo mkuu imejaa ndiyo maana hiyo hali inakupata sababu hauli peke yako inashiba kupitia ww