The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Inawezekana Polisi na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais ..
Ila deep down hata wenyewe police hawapendi namna mambo yanavyo enda Kwa Sasa .. Kazi yao ni kufwata oda tu kutoka juu , hata kama oda ni ya kuua , ni lazima uue, ukiwa against na oda, hautoboi..
Wanatamani hata kuongoza maandamano, ndio hivyo haiwezekani , lazima waishi ndani kiapo..