The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Kama wangekuwa wamechoka, wangesha onyesha dalili or rebellion. But its seems mfumo una wafaidisha, is why hawataki kutoka hukoInawezekana police na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais ..
Ila deep down hata wenyewe police hawapendi namna mambo yanavyo enda Kwa Sasa .. Kazi yao ni kufwata oda tu kutoka juu , hata kama oda ni ya kuua , ni lazima uue, ukiwa against na oda, hautoboi..
Wanatamani hata kuongoza maandamano, ndio hivyo haiwezekani , lazima waishi ndani kiapo..
Labda Wana nature ya uoga,Kama wangekuwa wamechoka, wangesha onyesha dalili or rebellion. But its seems mfumo una wafaidisha, is why hawataki kutoka huko
🤣🤣🤣