Hata Real Madrid huwa anafungwa

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi.

Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala miguu, kila kona unakuta Mchambuzi anaharishia watu.

Hakuna Mchambuzi wa kumchambua Nabi hapa Tanzania hayupo wala hajazaliwa kajambeni mbele huko.

Huyo Fei toto wenu anayewalipa ili mumseme kama sababu mbona hakuifikisha Yanga Fainali alivyokuwepo?

Timu gani hapa Duniani inachukua Makombe tu haijawahi kufungwa kwanini kufungwa Yanga iwe Nongwa?

Kuweni Wazalendo kwanza Fainali haijaisha, na hata kama Yanga watashika Nafasi ya Pili CAF siyo kazi ndogo punguzeni Makasiriko.

Hebu tupisheni huko.
 
Na bado tunawasubiria home tuwapige ngumi kali
 
Mlipakatwa vizuri Hadi Raha.

Mnagungwa kizembe zembe tu. Timu ndogo ktk mashindano madogo.
 
we mbwiga kweli... nabi ana uspecial gan mpaka umsifie kiasi hicho... wakati nae ni mganga njaa tu..... nabi kadondokewa na zali la mentali la kukutana na matimu mabovu ndo maana kafika hapo... angekuwa bora si tungemuona bado yupo kwenye club bingwa? kwa nini alichojolewa mapema kabisa?? .... subirini msimu ujao mcheze club bingwa ndo tuwaone kama nyie wanaume......
 
umeandika kwa kupanic ndo maana hapo mwisho umempa yanga nafasi ya pili wakati yanga bado tuna nafasi ya kuchukua huu ubingwa...
 
Na bado tunawasubiria home tuwapige ngumi kali
Madunduka mwaka huu wanapata tabu ya kushabikia timu nyingi ,na tabu nyingine ni kutoka kapa midimu miwili mfululizo.
 
Madunduka mwaka huu wanapata tabu ya kushabikia timu nyingi ,na tabu nyingine ni kutoka kapa midimu miwili mfululizo.
Umesahau kutaja furaha yetu usijifanye huijui.

Hiyo kwetu ni happy ending
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…