Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kawaomba mboga mboga? Pilipili usiyoila yakuwashia nini?Tapeli na ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money anadai chama eti hakina pesa, ili tu kutia huruma ili achangiwe, dah! Viongozi wengine bana dah 🐒