Hata sijamtongoza

good idea nitafanya hivyo
 

Muulize anakuja kwako kufanya nn?
 
Mwambie ukweli kwasababu hakuna namna nyingine ya kumsaidia......na huo ukweli maanisha na usiwe ule wa...........!
 
kwi kwi kwi bingwa la kuharibu !!sasa si amesoma nae?sema anataka amuonjeshe na mgegedo wake !!haki ya nani mimi nisingemuacha hata ningekua na nyumba ndogo zingine 10(INAONGEZA HADHI YA KIUME)

Nini kusoma kwani ye ndo wa kwanza kusoma?
ndo aongezea hadhi ya kiume kwa kuhonga sio kulia lia
vilio atuachie wanawake....
 
mmmmmm...!!
Una mpenzi afu unatoa hela kumnunulia nguo mwanamke eti rafiki ako, umesoma nae
na huyo mwenzio nae akiletewa nguo na zawadi kede kutoka kwa wababa aliosoma nao utafurahi eeeeh...
uuuh thanks huyo mwanamke sio mie.
 
Huyo Dada ni mstaarabu anakuja kulipa fadhila.
 
Mwambie hali halisi kama una mpenzi akihiali kuja tu gegeda huo mzigo unasubili nini
 
Una mpenzi afu unatoa hela kumnunulia nguo mwanamke eti rafiki ako, umesoma nae
na huyo mwenzio nae akiletewa nguo na zawadi kede kutoka kwa wababa aliosoma nao utafurahi eeeeh...
uuuh thanks huyo mwanamke sio mie.
ni msaada wa kibinadamu tu kaniomba sina budi kumsaidia
 
Habarini wana JF,

akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.

Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.

Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.

mkuu unaelewa maana ya mizinga??? hapo huna chako!! amka...
 

Mwanaume gani wewe una mpenzi 1 jee ukija kupigwa kibuti ndiyo nyie huwa mnajiua
 
Umeshamfahamisha kuwa wewe una mtu wako? Maana haya mambo mengine huwa tunayatengeneza wenyewe halafu mwishoni tunalalamika, kwa mfano ulichukua hatua gani alivyokuita Baby wakati wewe upo kwenye mahusiano mengine ambayo unayaheshimu?

Si wanasemaga kuitwa baby ni njia ya kukuandaa kukamuliwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…