Hata simuelewi huyu mke

Hata simuelewi huyu mke

Ongea na mkeo. Muulize ni nini kinaendelea. Muonye kuwa hupendi jambo hilo.
Na endeleeni na ndoa yenu. Enaendelea kusisitiza usilolipenda mpaka nyumba inakaa sawa na ndoa inaendelea vizuri. Na wewe jiweke vizuri, sio unamlaumu mwenzio kumbe wewe hizo ndio zako.
 
MSG TU ETI MWITISHE KIKAO CHA WAZAZI?? ..haa hiyo hapana.
KAENI MUME NA MKE MLIONGEE HILO BILA KUWASHIRIKISHA WAZAZI AU NDUGU ZENU WOWOTE WALE.
SIYO VIZURI KILA TATIZO LINAPOTOKEA BASI WAZAZI NDIYO ETI WAWE WASULUHISHI WENU, HAKIKISHA KUWA
MSULUHISHI MKUBWA WA MATATIZO KATIKA NDOA YENU MUWE NI NYINYI WAWILI TU WANANDOA.
HIYO NI MSG TU ISIKUFANYE UZIMIE LABDA ULIVYOIELEWA SIVYO KABISA LAKIN UKIKAA NA MKEO NA AKAKUTOLE UFAFANUZI UTAPATA KUIELEWA.
 
Haya ma faceb mie siyapendi kweli sijui kwa nini
 
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??
facebook=kitabu cha mfano=usokitabu? Uo uchuro.
 
Back
Top Bottom