Hata sisi CCM hatutaki katiba ya UKAWA, UKAWA ni kikundi kidogo sana cha WAHUNI....

Kama UKAWA ni kikundi kidogo na kitakufa muda wowote kama ulivyosema mtoa mada sasa hofu yenu ni nini hasa?Ninyi si muendelee na mchakato wa kutuletea katiba sisi wananchi? HAMUWEZI KUENDELEA NA MAMBO BILA KUITAJATAJA UKAWA?

wEWE NA MWENZAKO MSIOJUA HILO FUNGUKENI NA ACHENI KUSHABIKIA KIFO
 
Bado tuna kazi kubwa sana, hili ni giza haoni wala hajui kitu chochote.
 
kila mbunge/mjumbe anawakilisha kundi lake. Sasa ukiangalia chama chenye wawakilishi wengi ni CCM, sasa hao wachache watabebaje maoni ya wengi? Ukawa ni wachache na wanawakilisha wachache, simple like that! Uchochez hauna maana!

Wee akiri hauna kwan katiba ya ukawa ni ip wanayoitaka au umevurugwa
 
Hapa kuna watanzania zaidi ya 40mil, wewe unatulinganisha na misukule 5mil ya ccm?

kweli wewe Head Teacher wa vilaza! Mtoto wa mwaka mmoja aweza kuwa mwanachama wa chama chochote?
 
wanachama tupo zaidi ya milioni tano. Kwani wanachama huchaguliwa na nani?

Kama wanachama wenu wapo Milion Tano(kwa maana zaidi ni kwamba hamna idadi kamili) sasa huoni kuwa mnazungumzia watu 5mil out of 45mil? Hapo kwenye Red ulikuwa una maanisha nini?
 
Kama wanachama wenu wapo Milion Tano(kwa maana zaidi ni kwamba hamna idadi kamili) sasa huoni kuwa mnazungumzia watu 5mil out of 45mil? Hapo kwenye Red ulikuwa una maanisha nini?

nimemjibu aliyeuliza. Chadema si wamebaki wanachama elfu 70? Una habari hiyo?
 
Unalo hilo ulifikiri hapo utapata zaidi ya buku saba kwa kuhisi mwenyewe umetoa bonge la mada,we wa buku sabab tu!!
 
kila mbunge/mjumbe anawakilisha kundi lake. Sasa ukiangalia chama chenye wawakilishi wengi ni CCM, sasa hao wachache watabebaje maoni ya wengi? Ukawa ni wachache na wanawakilisha wachache, simple like that! Uchochez hauna maana!
Unazidi kuvua nguo hadharani kiongozi tena upo jukwaani kumbuka!Kwenye bunge la katiba kuna wabunge wa CCM waliochaguliwa na wananchi?
 
tENA YA S3.

BIG NO.
Wao wanatetea rasimu ya tume ya Warioba. Hawajaandika ya kwao. Walioandika ya kwako ya serikali mbili ni sisiem.
 
Unazidi kuvua nguo hadharani kiongozi tena upo jukwaani kumbuka!Kwenye bunge la katiba kuna wabunge wa CCM waliochaguliwa na wananchi?

kumbe walichaguliwa na nini?
 
BIG NO.
Wao wanatetea rasimu ya tume ya Warioba. Hawajaandika ya kwao. Walioandika ya kwako ya serikali mbili ni sisiem.

tume ya warioba ilichakachua maoni
 
Miaka 50 mlikuwa wapi kuboresha?jee inaboreshwaje?
 
Nani kakuambia ccm ina wafuasi wengi..kwa sasa CCM haina hata wafuasi km CUF na hata idadi kubwa kabisa ya wanachama wa CCM ktk historia yake bado haiwezi shindana na wanachama hai wa CDM
 
Ukawa wanasimamia mawazo ya watanzania na wewe ukiwemo alafu unawashabikia waliokataa ,?ntabaki nakushangaa sana
 
Ukawa wanachopigania ni rasimu ya kariba mpya iliyoandikwa na warioba. Na yale ndio yaliyokuwa maoni ya wananchi. Kiukweli walichokifanya CCM bungeni walikiuka maoni ya watanzania kwani kwa uchakachuaji ule, kulikuwa hakuna haja ya kuundwa tume izunguke tanzania nzima kuchukua maoni ya wananchi. Hivi wadau warioba ni CCM au UKAWA?
 
Hakuna katiba ya ukawa kuna rasimu ya katiba iliyotokana na maoni ya wananchi hiyo ndiyo inatetewa na ukawa.ukiikataa maana yake hupendi kuwasikiliza wananchi.CCM iliikataa kwa vile inajiona ipo juu ya wananchi hasa iwapo madarakani.ili kuionesha kuwa Tanzania ni ya wananchi jambo liifaalo ni kuing'oa madarakani.chagua UKAWA chagua LOWASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…