Hata sisi CCM hatutaki katiba ya UKAWA, UKAWA ni kikundi kidogo sana cha WAHUNI....

Hata sisi CCM hatutaki katiba ya UKAWA, UKAWA ni kikundi kidogo sana cha WAHUNI....

Huyo anayedai UKAWA ni kikundi cha wa.....ajitafakari UKAWA wanasimamia maoni yawananchi sichelei kusema hyo katiba inayopendekezwa ndiyo imejaa mapendekezo yawahuni naweziwachache(maccm) wasiopenda uwajibikaji. Jitambue ww usijikatae, nani asiyejua kilichotokea Dodoma, wezi wote walibaki bungeni kunajisi maoni yawananchi nakuweka mambo yenye maslahi kwamatumbo yao
 
Kuwa makini na unachokisema, kwa kuwa siku moja unaweza ukayala maneno yako.
UKAWA wanadai kuwa wanadai katiba ya wananchi, je wanaCCM co wananchi?

UKAWA hawaoni wanaCCM ndo wengi kwa maana kwamba ndio wanaowakilisha wananchi wengi huko BMK kwani walichaguliwa na wananchi wengi?

CCM waendelee na kudai katiba ya wengi kwa wingi wao wa kuchaguliwa na wananchi walio wengi.

UKAWA wanasema wanataka katiba ya wananchi na co katiba ya CCM, huko ni kukosa hoja kwani hata sisi wanaCCM hatutaki katiba ya UKAWA ambacho ni kikundi cha watu wachache na wanawakilisha watu wachache.

CCM imeishi zaidi ya miaka 37,
UKAWA ni kikundi ambacho hakina hata miezi miwili, je uzoevu wa kuunda serikali wameutoa wapi? UKAWA ni kikundi kinachoweza kufa muda wowote, waiache tz kwenye mataa!

WENGI WAPE, MARIDHIANO YAKIKOSEKANA TUENDELEE NA KATIBA ILIYOPO. HATUWEZI KUFUATA MAPENDEKEZO YA WACHACHE. S3 NI ZIGO ZITO! TUBORESHE S2 ZILIZOPO.
 
Back
Top Bottom