Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Taratibu Caroline, hii ni mbona poa tu, hutaki watu wafurahi? We ukiwa bored unataka wote wawe bored au? Acha wana jf waendelee kupare, it's good food for brain.


Caro hana sera huyo ndugu yangu, kama anataka basi aseme kibiblia na sio kubwabwaja tu, je anajuaje yeye ni mwema zaidi ya wengine?hili ni jukwaa la kuburudishana na kuelimishana...kama anataka basi akakae kanisani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…