kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Kauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri isitumike kabisa kwani inashusha morali.CCL ina faida kubwa kuliko shirikisho.Kwa Simba kufika hatua ya robo iliweza kuvuna points 15 ambazo zilitosha kuifanya nchi ya Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF tokea dunia iumbwe,Yanga kwa ushiriki wake miaka ya nyuma hasa kombe la shirikisho iliweza kuvuna points 3 tu.Hivyo tuweke lengo la kuitoa Zesco sio vinginevyo
Kauli hii ilitolewa na mlevi mmoja wa Mikia aka Bi Hindu akiwa pale mchangani bunju.Kauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri isitumike kabisa kwani inashusha morali.CCL ina faida kubwa kuliko shirikisho.Kwa Simba kufika hatua ya robo iliweza kuvuna points 15 ambazo zilitosha kuifanya nchi ya Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF tokea dunia iumbwe,Yanga kwa ushiriki wake miaka ya nyuma hasa kombe la shirikisho iliweza kuvuna points 3 tu.Hivyo tuweke lengo la kuitoa Zesco sio vinginevyo
Sidhani kama hawajaweka hilo lengo, hakuna anayependa kushuka katika daraja la chini bali unakutana na mpinzani wa aina gani. Ukikutana na mpinzani aliyekuzidi kwanzia mbinu, ufundi na wachezaji walio bora zaidi yako, pamoja na bahati kutokuwa upande wako basi huwezi vuka lengo lililowekwa.
Timu inaweza kuvuna point kwenye michuano yote ile (klabu bingwa na hata shirikisho pia) endapo tu itafanya vizuri zaidi kwa kuvuka hatua moja kwenda hatua nyingine. Msimu uliopita Gormahia waliongezea point Kenya kupitia Shirikisho. Kinachotakiwa tu timu ya Azam pamoja na Yanga zote kwa pamoja wajitahidi wafike hata robo fainali ili Tanzania ivune point nyingi zaidi.
Ni kweli kuwa ukishiriki kombe la Shirikisho au CCL na kuifanya vizuri utavuna points kwa nchi.Lakini Kati ya mashindano hayo mawiĺi CCL kila hatua ya mafanikio unapata points nyingi zaidi ya utakazopata Kombe la shirikisho,Sasa twendeni kuitoa Zesco.Sidhani kama hawajaweka hilo lengo, hakuna anayependa kushuka katika daraja la chini bali unakutana na mpinzani wa aina gani. Ukikutana na mpinzani aliyekuzidi kwanzia mbinu, ufundi na wachezaji walio bora zaidi yako, pamoja na bahati kutokuwa upande wako basi huwezi vuka lengo lililowekwa.
Timu inaweza kuvuna point kwenye michuano yote ile (klabu bingwa na hata shirikisho pia) endapo tu itafanya vizuri zaidi kwa kuvuka hatua moja kwenda hatua nyingine. Msimu uliopita Gormahia waliongezea point Kenya kupitia Shirikisho. Kinachotakiwa tu timu ya Azam pamoja na Yanga zote kwa pamoja wajitahidi wafike hata robo fainali ili Tanzania ivune point nyingi zaidi.
Sio kila target inayowekwa lazima ifanikiwe. Nakupa mfano tu, timu ya Simba msimu huu walijiweke target ya kufanya vizuri klabu bingwa hadi wafike nusu fainali hivyo ikafanya usajili wa gharama wa wachezaji wakucheza klabu bingwa na kwenda kuweka kambi Africa kusini huku ikicheza mechi na timu zilizobora zaidi ili kujiweka sawa lakini mwisho wa siku wameshindwa kufikia target yao kwa kutolea hatua ya awali kabisa. Hakuna timu inayoshiriki michuano fulani pasipokuwa na target ila kila timu itafanya maandalizi ya kufikia target kulingana na matakwa yake na pia kulingana na uwezo wa mfuko wake.Ndio shida ya viti maalumu hawanaga target wapo kwa sababu wanaishi
Viongozi gani wanasema hivyo? Malengo yetu makuu kabisa ni kuingia makundi hayo mengine ni matokeo tuKauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri isitumike kabisa kwani inashusha morali.CCL ina faida kubwa kuliko shirikisho.Kwa Simba kufika hatua ya robo iliweza kuvuna points 15 ambazo zilitosha kuifanya nchi ya Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF tokea dunia iumbwe,Yanga kwa ushiriki wake miaka ya nyuma hasa kombe la shirikisho iliweza kuvuna points 3 tu.Hivyo tuweke lengo la kuitoa Zesco sio vinginevyo
Nani kakwambia Simba ilitolewa? Hizo habari si za kweli zipuuzeSio kila target inayowekwa lazima ifanikiwe. Nakupa mfano tu, timu ya Simba msimu huu walijiweke target ya kufanya vizuri klabu bingwa hadi wafike nusu fainali hivyo ikafanya usajili wa gharama wa wachezaji wakucheza klabu bingwa na kwenda kuweka kambi Africa kusini huku ikicheza mechi na timu zilizobora zaidi ili kujiweka sawa lakini mwisho wa siku wameshindwa kufikia target yao kwa kutolea hatua ya awali kabisa. Hakuna timu inayoshiriki michuano fulani pasipokuwa na target ila kila timu itafanya maandalizi ya kufikia target kulingana na matakwa yake na pia kulingana na uwezo wa mfuko wake.
Kweli si haba aisee...........Kauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri isitumike kabisa kwani inashusha morali.CCL ina faida kubwa kuliko shirikisho.Kwa Simba kufika hatua ya robo iliweza kuvuna points 15 ambazo zilitosha kuifanya nchi ya Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF tokea dunia iumbwe,Yanga kwa ushiriki wake miaka ya nyuma hasa kombe la shirikisho iliweza kuvuna points 3 tu.Hivyo tuweke lengo la kuitoa Zesco sio vinginevyo
Teh teh teh kuna watu wanasambaza sumu eti Mikia imetolewaNani kakwambia Simba ilitolewa? Hizo habari si za kweli zipuuze
Mmeanza kupiga ramli zenu ,kocha anazungumza kama kasukuKauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri isitumike kabisa kwani inashusha morali.CCL ina faida kubwa kuliko shirikisho.Kwa Simba kufika hatua ya robo iliweza kuvuna points 15 ambazo zilitosha kuifanya nchi ya Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF tokea dunia iumbwe,Yanga kwa ushiriki wake miaka ya nyuma hasa kombe la shirikisho iliweza kuvuna points 3 tu.Hivyo tuweke lengo la kuitoa Zesco sio vinginevyo